Niliwahi kuitwa interview yao Moshi mjini, niliitwa kupitia gazeti la Mwananchi km sijakoseaWana jf, kuna nafasi zimetoka tanroads hapa juzi kati, tembelea zoom tanzania utaziona deadline bado, sasa nataka kujua je hawa jamaa hua wanaitaje interview? ni kwa simu? au web yao? maana application imekua adressed kwa Regional manager tanroads, mwenye kufahamu hili anijuze
Zimetoka nyinyine za KibahaKama ni za arusha washaita tiari ( wanapiga simu)
Hapa cha msingi ni kuchek website yao mara kwa mara na kukaa karib na simu maana unaweza ukaachwa na gari la mshaharandio mkuu ndo nimeapply za kibaha
Mkuu, unachokisema ni kweli au, maana watu tulikuwa tunasubiri huku tukipita kwenye website yao. Km kweli, ilibidi wafanye public km walivyotangaza, any way ndiyo nchi yetuKama ni za arusha washaita tiari ( wanapiga simu)