Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,124
- 8,153
TANROAD mnafanya uzembe mkubwa unaogharimu maisha ya wasafiri hasa nyakati za usiku.
Wenye magari wanalipa kodi na tozo mbali mbali; wananchi wanalipa kodi; na serikali inatenga budgets za barabara.
Inakuwaje barabara ya highway inakuwa na mashimo makubwa kabisa katikati?!!! How comes?
Tanroad Regional Managers mnastahili kucharazwa viboko wallah. Hivi nyie huwa hamtumii hizo barabara na kuona hiyo kero hatarishi?
Kuendesha usiku kwenye highway yenye mashimo ni hatari mnoo!
Mpakani mwa Shinyanga kwenda Mwanza kuna mashimo ya hatari! Juzi muda wa saa 5 usiku tumekoswa koswa uso kwa uso na semi-trailer lilokuwa linakwepa shimo kubwa barabarani. It was a 'near death' experience!
Nadhani sasa ifikie hatua ikitokea fatal car accident na ikawa proved beyond doubt kwamba kisababishi ni ubovu wa barabara, basi Tanroad washtakiwe.
Wewe Regional Manager wa Tanroad Mwanza, toka humo ofisini kwenye kiyoyozi, washa gari nenda hiyo highway ya kwenda Shinyanga ukajionee. Kuna kipande kirefu ni kibovu sana kuelekea mpakani mwa Shinyanga. Ni mashimo tupu!!
Tokeni ofisini mtembelee barabara. Tanroad Regional Managers fanyeni kazi. Acheni uzembe unaogharimu maisha ya wasafiri.
-Kaveli-