TANROAD, zibeni na rekebisheni mashimo yote barabarani. Mnaua watu!!

Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
5,102
8,087
TANROAD mnafanya uzembe mkubwa unaogharimu maisha ya wasafiri hasa nyakati za usiku.

Wenye magari wanalipa kodi na tozo mbali mbali; wananchi wanalipa kodi; na serikali inatenga budgets za barabara.

Inakuwaje barabara ya highway inakuwa na mashimo makubwa kabisa katikati?!!! How comes?

Tanroad Regional Managers mnastahili kucharazwa viboko wallah. Hivi nyie huwa hamtumii hizo barabara na kuona hiyo kero hatarishi?

Kuendesha usiku kwenye highway yenye mashimo ni hatari mnoo!

Mpakani mwa Shinyanga kwenda Mwanza kuna mashimo ya hatari! Juzi muda wa saa 5 usiku tumekoswa koswa uso kwa uso na semi-trailer lilokuwa linakwepa shimo kubwa barabarani. It was a 'near death' experience!

Nadhani sasa ifikie hatua ikitokea fatal car accident na ikawa proved beyond doubt kwamba kisababishi ni ubovu wa barabara, basi Tanroad washtakiwe.

Wewe Regional Manager wa Tanroad Mwanza, toka humo ofisini kwenye kiyoyozi, washa gari nenda hiyo highway ya kwenda Shinyanga ukajionee. Kuna kipande kirefu ni kibovu sana kuelekea mpakani mwa Shinyanga. Ni mashimo tupu!!

Tokeni ofisini mtembelee barabara. Tanroad Regional Managers fanyeni kazi. Acheni uzembe unaogharimu maisha ya wasafiri.

-Kaveli-
 
Watarekebisha vipi wakat hela zote anachukua Meko na bashite wanatengeneza miradi isiyo na kjchwa wala miguu wapate 10% na hela nyingine zinaenda kwenye mission za kutekq watu
 
TANROAD mnafanya uzembe mkubwa unaogharimu maisha ya wasafiri hasa nyakati za usiku.

Wenye magari wanalipa kodi na tozo mbali mbali; wananchi wanalipa kodi; na serikali inatenga budgets za barabara.

Inakuwaje barabara ya highway inakuwa na mashimo makubwa kabisa katikati?!!! How comes?

Tanroad Regional Managers mnastahili kucharazwa viboko wallah. Hivi nyie huwa hamtumii hizo barabara na kuona hiyo kero hatarishi?

Kuendesha usiku kwenye highway yenye mashimo ni hatari mnoo!

Mpakani mwa Shinyanga kwenda Mwanza kuna mashimo ya hatari! Juzi muda wa saa 5 usiku tumekoswa koswa uso kwa uso na semi-trailer lilokuwa linakwepa shimo kubwa barabarani. It was a 'near death' experience!

Nadhani sasa ifikie hatua ikitokea fatal car accident na ikawa proved beyond doubt kwamba kisababishi ni ubovu wa barabara, basi Tanroad washtakiwe.

Wewe Regional Manager wa Tanroad Mwanza, toka humo ofisini kwenye kiyoyozi, washa gari nenda hiyo highway ya kwenda Shinyanga ukajionee. Kuna kipande kirefu ni kibovu sana kuelekea mpakani mwa Shinyanga. Ni mashimo tupu!!

Tokeni ofisini mtembelee barabara. Tanroad Regional Managers fanyeni kazi. Acheni uzembe unaogharimu maisha ya wasafiri.

-Kaveli-

Tanroads wawajibishwe kwa uharibifu na ajali zinazo sababishwa na uzembe wao. Ni kwa hivi ndiyo wanaweza kuwajibika.

Hali ya barabara rusahunga - rusumo ni aibu kuwa ati yaelekea nchi jirani.

Pasipo na hawa jamaa kuwajibishwa tusitegemee mwuujiza.

Ajali ya majinja express sababu ilikuwa shimo barabarani yaani tanroads. Walijifunza nini hata tokea zama hizo? Zero!
 
Umesema vema kabisa. Hicho kipande nakifaham toka miezi sita imepita nashangaa hadi sasa hakijarekebishwa. Ina maana kimekuwa kibaya zaidi!
TANROAD mnafanya uzembe mkubwa unaogharimu maisha ya wasafiri hasa nyakati za usiku.

Wenye magari wanalipa kodi na tozo mbali mbali; wananchi wanalipa kodi; na serikali inatenga budgets za barabara.

Inakuwaje barabara ya highway inakuwa na mashimo makubwa kabisa katikati?!!! How comes?

Tanroad Regional Managers mnastahili kucharazwa viboko wallah. Hivi nyie huwa hamtumii hizo barabara na kuona hiyo kero hatarishi?

Kuendesha usiku kwenye highway yenye mashimo ni hatari mnoo!

Mpakani mwa Shinyanga kwenda Mwanza kuna mashimo ya hatari! Juzi muda wa saa 5 usiku tumekoswa koswa uso kwa uso na semi-trailer lilokuwa linakwepa shimo kubwa barabarani. It was a 'near death' experience!

Nadhani sasa ifikie hatua ikitokea fatal car accident na ikawa proved beyond doubt kwamba kisababishi ni ubovu wa barabara, basi Tanroad washtakiwe.

Wewe Regional Manager wa Tanroad Mwanza, toka humo ofisini kwenye kiyoyozi, washa gari nenda hiyo highway ya kwenda Shinyanga ukajionee. Kuna kipande kirefu ni kibovu sana kuelekea mpakani mwa Shinyanga. Ni mashimo tupu!!

Tokeni ofisini mtembelee barabara. Tanroad Regional Managers fanyeni kazi. Acheni uzembe unaogharimu maisha ya wasafiri.

-Kaveli-

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku namba moja akisema utashangaa kila mkoa tanroads watakavyokuwa bize tofauti na hapo usitegemee kama wataamka.

..........Kufanya kazi kwa mazoea kumefanya nchi masikini kuwa hapa zilipo.
 
Tanzania National Roads Agency (TANROADS)
 
Lawama zote humwendea dereva, ataulizwa kwa nini alikwepa shimo badala ya kufukia
 
Tanroads Kuna shimo hapa Boko Kwa wagogo karibia na soko la matikiti almaarufu Kwa Wagogo lile shimo mara 2 limenusurisha ajali watu wamelambana side mirrors wakilikwepa alimanusura iwe uso kwa uso juzi. MKALIFUKIE.

Halafu limekuwa shimo sugu kila miezi 12 linaibuka na lipo kilimani eneo hatari kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mahandaki ya kufa mtu Igunga-Nzega

Ni aibu kwa kweli kuna watu wapo ofisini tu na hii ndio kazi yao
 
Chamakweza Chalinze Hadi Chalinze town n hatari tupu barabara imejaa mashimo,kama vile mitaa Ruvu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom