hapana ht interview hawajaita na chini ya kapet meneja ndio kaitwa wizaran kwa utaratibu wa kuwasilisha budget means hadi ipitishwe ndio wataita interview na michakato mingne itaendelea. inawezekana ikawa mpaka mwisho wa bunge la budget.

dah sasa kaz itangazwe february, interview august hii ni balaa, sasa mbona nafasi za security guard wameita interview, wao burget yao ipo..wanazingua bhana wenzao wa tanroads tanga walitangaza kazi juz tu hapa baada ya hawa wa songea ila wao wameshaitaa,