Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,488
Subiri wahandisi wa Lumumba waje watakwambia hata Sabaya ni mhandisi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mbavu zinachomokaMhujumu uchumi huyu.
Good naamini Wewe ni Mhandisi umejibu kihandisi ! Nahisi pia hapakufanyika Hydrological Design maana Hiyo Cross Drainage structure ni ya zamani mno(Corrugated Metal Pipe/Amco)na ilifukiwa wakati wa upanuzi wa barabara pasipo Hydrological Design kujua Discharging Capacity yake (m3/sec).Yaani hapo wala hilo hapo nafikiri from my layman knowledge halikuwa daraja bali wataalamu tunaita Ni culvert na inaweza kuwa ilikuwa ni concrete(pipe,or box culvert,precast/insitu , amco ( those with like round pipe corrugated iron sheet, with single or multiple cell options based on 50/100 yrs optimal rainfall return ambayo huwa yatumike kupata arrive kwenye dimensions za culvert au daraja zitakazo kuwa muafaka kupitisha salama maji ya mto...Naona rainfall intensity history info ya eneo waliyoitumia kudetermine size za culvert iliwa misslead.. hivyo ndoa madhara kama hayo hutokea... culvert size kushindwa kupitisha maji mengi kwa haraka..a big lesson..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hapo unafikiri hatua za haraka zimechuuliwa ...siyo kila jambo tuweke siasa ...mambo mengine tuache uvyama nyumaKwani hili ndio daraja la kwanza kusombwa nafikiri kila ikitokea hatua za dharura huchukuliwa kwa haraka sana na hao hao unaowaponda hata jeshi wapo kwa mambo hayo!
A na B ni majibu sahihi.NOTE: Waliopo kwenye mfumo ni either wamedumazwa na mfumo ulivyo au mfumo uliwabeba kukalia nafasi za maamuzi pasi na uwezo.
Dah....tatizo kuu ni wanasiasa kuingilia kazi za kitaalaam....binafsi bado nasubiri ubunifu ule wa kuinua daraja la jangwani mita 300 kwenda juu utekelezweKiukweli per diem za site visit za WAHESHIMIWA na ving'ora...ni indirectly proportional to the engineers requirements...
Nguvu iliyotumika kuwapeleka wanasiasa kwenda kuliona daraja ni kubwa mno, kuliko nguvu ya kupeleka mahitaji ya wahandisi kufanikisha ujenzi...
Mhandisi TANROAD, mbuzi wa kafara, mkoa wenye milima kama Morogoro, na madaraja lukuki na mvua za kisulisuli za mwaka huu, nobody anticipated disaster kama hiyo..
Je, kulikuwa hata na bajeti ya pre-emptive??
Pale DART Jangwani, hakujawajibisha mtu mpaka kesho..double standards zetu matata SANA.
Everyday is Saturday................. 😎

Ni aibu kabisaTanroads ilitakiwa wawe na 'madaraja ya jeshi'.
Yale madaraja ya chuma ya kubeba na kupakia.... Yani dharura ikitokea daraja linafitishwa fasta, maisha yanaendelea.
Mkubwa, jibu la hili kwenye JF, kosa lake ni la UHUJUMU UCHUMI....nafikiri umenielewa...Taarifa iliyotoka jana ni kwamba usiku wa jana lingeanza kufanya kazi.
Vipi hadi leo bado tu?
Taaluma ya ujenzi ni pana sana kuliko watu wanavyoichukulia; uwepo wa wahandisi pekee pasipo kuweko na sera zinazompa nguvu mhandisi ni kazi bure!
Tanzania ina wataalam wabobezi wa ujenzi lakini Hatusikilizwi kabisa, wanasiasa wame-dominate field nzima ya ujenzi kiasi cha kuifanya isikue.
Kwa taaluma yangu niliyoipata China katika masuala ya ujenzi, Daraja la Kilosa halikutakiwa kuzidi masaa 6 liwe limejengwa upya.
Teknolojia inayotumika na nchi yetu kushughulika na Emergency Construction ni ya kizamani sana!
Tutawalaumu bure wahandisi wetu. Tatizo kubwa katika sekta hii nchi yetu haina sera nzuri za ku-hold wabobezi nguli wa ujenzi katika system kwasababu za kisiasa.
Na ikitokea mtaalam ukajitoa kuitumikia nchi unaonekana kama boya mwenye kiherehere utakwamishwa kila hatua na automatically mfumo utakushusha, either ufanane nao au utolewe kafara (yapo mengi ya kusema yanayokera kimfumo)
Ujenzi wa dharura unafanywaje?
Kila makao makuu ya mkoa au wilaya walipaswa kuyajua madaraja yote hususani yasiyo na njia mbadala na kuyaandalia pre casted beam, piers and slab, ambapo kukiwa na dharula inakuwa rahisi kubeba na kuzipeleka site na kuziunganisha ili kupata span inayotakiwa!
Temporary platform kwa daraja kama la Kilosa hazikutakiwa kuzidi hata masaa 4 ziwe tayali zipo site! (kikao cha maamuzi kama hayo Wahandisi wa mkoa walipaswa kufanya hata kwenye simu tu Call conference!. Maandishi yanakuja baadaye watu wakiwa site. Nguvu iliyotumika kupeleka wanasiasa site kwa helikopita ingefaa kubeba "Portland Cement"
Ni aibu kwa barabara inayounganisha inchi zaidi ya nne kufungwa siku 4, kwa kidaraja ambacho kilitakiwa kujengwa hata na fundi mchundo tu within 6 hrs lakini imeshindikana. Waziri wa Ujenzi yupo, Mkurugenzi wa Tanroads yupo, mameneja wapo, wahandisi wapo!
Ngoja nisiseme mengi lakini ukweli ni kwamba bila mikakati ya kisera Tanzania tutadumazana akili bure.
NOTE: Waliopo kwenye mfumo ni either wamedumazwa na mfumo ulivyo au mfumo uliwabeba kukalia nafasi za maamuzi pasi na uwezo.
........."Nothing will change".......
Sana wala siyo kidogoNinavyofahamu mimi madaraja yanatakiwa yawe yanakaguliwa kwa vipindi tofauti na taarifa zake ziwe documented kwa ajili ya maintenance na preventive measures,sasa je ukaguzi kwa madaraja yetu huwa unafanyika?na je documents za hilo daraja zinaeleza nini?mimi nina mashaka sana na mameneja wa Tanroads juu ya ufanisi wao katika kazi,ni wakati sasa umefika wa kuwachukulia hatua stahiki,kwanimadgara yaliotokea kwa daraja la Kilosa ni mzigo mkubwa sana kwa serikali yetu na wenzetu wa nchi jirani...