johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Jukumu kapewa CDF baada ya Tanroads kuchemka!Taarifa iliyotoka jana ni kwamba usiku wa jana lingeanza kufanya kazi.
Vipi hadi leo bado tu?
Jukumu kapewa CDF baada ya Tanroads kuchemka!Taarifa iliyotoka jana ni kwamba usiku wa jana lingeanza kufanya kazi.
Vipi hadi leo bado tu?
kwa hiyo hadi CDF kachemka?Jukumu kapewa CDF baada ya
Tanroads kuchemka!
Jana ndio PM Majaliwa kasema ataongea na CDF alete kikosi kazi cha jeshi kije kubeba jukumu zima la kuhakikisha magari yanapita.......uwe unaelewa bwashee!kwa hiyo hadi CDF kachemka?
Maana baada ya kukabidhiwa walivyosema hadi jana usiku mambo yawe yameshakaa sawa.
kwa hiyo hadi CDF kachemka?
Maana baada ya kukabidhiwa walivyosema hadi jana usiku mambo yawe yameshakaa sawa.
uko sahihi piaAliendika hii thread nna uhakika hafanyi kazi Serikalini, ni rahisi sana kusema wahandisi sio wabunifu , ni RAHISI SANA, kitu cha kwanza kuna tatizo moja kubwa la viongozi walioko wizarani kuchukulia kuwa mtu aliyeko mkoani au wilayani ni mtu mdogo sana hivyo ''you can order him around any how and that person will still be efficient"' KWA NADHARIA viongozi wanasema msikae ofisini, lakini PRACTICALLY , maagizo yanayotolewa ni too paper work na kubadili format tu, yanataka utoke SITE urudi ofisini ujibu email, ujaze excel sheet, ujaze table'' kila wakati utakuta '' kuna email nimekutumia inahitaji majibu sasa hiv'' !!!1 mtu hata kama ana RATIBA nzuri ya kusaidia nchi au kutatua matatizo RATIBA yake haiheshimiwi !!
kuna haja ya kuangalia international organizations zinafanyeje kazi !! mtumishi anaweza kuwa mtu mdogo sana lakini HESHIMU ile central role anayo play katika kuleta tija katika organization.
sawa
ka daraja tu siku tatu. corona ikija si itatumaliza siku mbili.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Je hiyo adhabu aliyopewa Mhandisi ipo kwenye mwongozo wa kanuni za kazi na wajibu wake?Barabara ni issur ambayo ipo ndani ya uwezo wa engineers wa tanroad ndio maana wazuri mkuu kampiga chini manager wa tanroad mkoa.
1. Kwanza kwa uzembe wa kuto kagua eneo husika hadi culvert lina jaa mchanga na kuzuia maji kuto pita.
2. Pili kwa kuto mobilize nguvu ya kiufundi na kitaalam mapema ili kupata suluhu kwa wakati.
3. Kuto kua na kumbukumbu juu ya ukaguzi wa barabara.
Hili tanroad hawawezi likwepa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaishi wapi hapa chini Tanzania?Mimi bado sielewi kuwa liliporomokaje?. Hakuna gari lililotumbukia ndani?. Je ilikuwa muda gani lilipoporomoka?.
Aliendika hii thread nna uhakika hafanyi kazi Serikalini, ni rahisi sana kusema wahandisi sio wabunifu , ni RAHISI SANA, kitu cha kwanza kuna tatizo moja kubwa la viongozi walioko wizarani kuchukulia kuwa mtu aliyeko mkoani au wilayani ni mtu mdogo sana hivyo ''you can order him around any how and that person will still be efficient"' KWA NADHARIA viongozi wanasema msikae ofisini, lakini PRACTICALLY , maagizo yanayotolewa ni too paper work na kubadili format tu, yanataka utoke SITE urudi ofisini ujibu email, ujaze excel sheet, ujaze table'' kila wakati utakuta '' kuna email nimekutumia inahitaji majibu sasa hiv'' !!!1 mtu hata kama ana RATIBA nzuri ya kusaidia nchi au kutatua matatizo RATIBA yake haiheshimiwi !!
kuna haja ya kuangalia international organizations zinafanyeje kazi !! mtumishi anaweza kuwa mtu mdogo sana lakini HESHIMU ile central role anayo play katika kuleta tija katika organization.
Kama anavyo sema waziri mkuu ni aibu ya nchi siku 3 hakuna suluhu ya magari kupita kati ya dodoma na morogoro.
Kwanini baada ya daraja kuvunjika kusitafutwe njia mchepuko magari yapite wakati mnaendelea kutengeneza daraja?
Hivi wewe, unafikiri watu na degree zao za engineering hawajafikiria hilo na kuona hakuna sehemu magari yanaweza kufanya hivyo na suluhisho ni kurudishia daraja tu? Unaweza kupitisha gari ya tani 40 kwenye kidaraja mabondeni pale?
Acha kuja na hoja za kisiasa za kinguin kwenye mambo ya kihandisi.
The best solution can just be a bad solution, albeit better than other bad solutions.Sijasema alternative iwe wapi lakini ungekua engineer ungenielewa. Engineers always can find the best solution. Hii ndio imani yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hili ndio daraja la kwanza kusombwa nafikiri kila ikitokea hatua za dharura huchukuliwa kwa haraka sana na hao hao unaowaponda hata jeshi wapo kwa mambo hayo!