Kwa ni kwa ajiri ya ujenzi au uchaguziJana tarehe 20 Oktoba TANROAD wamezua taharuki kwa wakazi wa Morogoro baada ya kupita kimya kimya bila ya kuongea na mtu wakipiga X nyekundu na kuandika Bomoa kwenye kuta za nyumba.
Nyumba hizo ambazo ni za makazi na nyingine zimepangishwa kama fremu kwa wafanyabiashara zipo eneo la katikati ya barabara inayotumika kwa sasa na ile ya zamani.
Ni barabara kuanzia Kwa Chambo kupita mizani ya zamani ya Kihonda, Mkundi Mwisho kuelekea Makunganya. Baadhi ya wananchi walisikika wakidai kwa nini X ziwekwe wiki hii ya mwisho ya kampeni wakati wanajua hawawezi kubomoa leo wala kesho.
Wananchi kadhaa walisikika wakidai kuwa watumishi wote wamemchoka Magufuli na CCM yake walichofanya TANROAD wanafanya hata wakubwa wa idara mbalimbali kumchonganisha na wananchi ili kuwajaza hasira wasimchague tena.
.
Tulieni dawa ipenye.Jana tarehe 20 Oktoba TANROAD wamezua taharuki kwa wakazi wa Morogoro baada ya kupita kimya kimya bila ya kuongea na mtu wakipiga X nyekundu na kuandika Bomoa kwenye kuta za nyumba.
Nyumba hizo ambazo ni za makazi na nyingine zimepangishwa kama fremu kwa wafanyabiashara zipo eneo la katikati ya barabara inayotumika kwa sasa na ile ya zamani.
Ni barabara kuanzia Kwa Chambo kupita mizani ya zamani ya Kihonda, Mkundi Mwisho kuelekea Makunganya. Baadhi ya wananchi walisikika wakidai kwa nini X ziwekwe wiki hii ya mwisho ya kampeni wakati wanajua hawawezi kubomoa leo wala kesho.
Wananchi kadhaa walisikika wakidai kuwa watumishi wote wamemchoka Magufuli na CCM yake walichofanya TANROAD wanafanya hata wakubwa wa idara mbalimbali kumchonganisha na wananchi ili kuwajaza hasira wasimchague tena.
.
Hapo mmeambiwa kabisa chagua Ccm tubomoe nyumba au mchague Lissu upate haki yakoJana tarehe 20 Oktoba TANROAD wamezua taharuki kwa wakazi wa Morogoro baada ya kupita kimya kimya bila ya kuongea na mtu wakipiga X nyekundu na kuandika Bomoa kwenye kuta za nyumba.
Nyumba hizo ambazo ni za makazi na nyingine zimepangishwa kama fremu kwa wafanyabiashara zipo eneo la katikati ya barabara inayotumika kwa sasa na ile ya zamani.
Ni barabara kuanzia Kwa Chambo kupita mizani ya zamani ya Kihonda, Mkundi Mwisho kuelekea Makunganya. Baadhi ya wananchi walisikika wakidai kwa nini X ziwekwe wiki hii ya mwisho ya kampeni wakati wanajua hawawezi kubomoa leo wala kesho.
Wananchi kadhaa walisikika wakidai kuwa watumishi wote wamemchoka Magufuli na CCM yake walichofanya TANROAD wanafanya hata wakubwa wa idara mbalimbali kumchonganisha na wananchi ili kuwajaza hasira wasimchague tena.
.
Hii comment naisave itakuja kuwa useful baadaeUkisikia tengeneza tatizo kwa makusudi kisha tatua ili majuha wakushangilie, ndiyo hiyo sasa!
Hapo wanajua Magu wakati anaenda Dodoma kumalizia ratiba ya kampeni, atasimama hapo na kusema "...hakuna kuwabomolea wananchi nyumba"!
Ukisikia tengeneza tatizo kwa makusudi kisha tatua ili majuha wakushangilie, ndiyo hiyo sasa!

Tumefanana mawazo!Hii comment naisave itakuja kuwa useful baadae
Nyie watu wa Morogoro wengi wenu ndio ccm damdam. acha awakomeshe huyo Magufuli wenuJana tarehe 20 Oktoba TANROAD wamezua taharuki kwa wakazi wa Morogoro baada ya kupita kimya kimya bila ya kuongea na mtu wakipiga X nyekundu na kuandika Bomoa kwenye kuta za nyumba.
Nyumba hizo ambazo ni za makazi na nyingine zimepangishwa kama fremu kwa wafanyabiashara zipo eneo la katikati ya barabara inayotumika kwa sasa na ile ya zamani.
Ni barabara kuanzia Kwa Chambo kupita mizani ya zamani ya Kihonda, Mkundi Mwisho kuelekea Makunganya. Baadhi ya wananchi walisikika wakidai kwa nini X ziwekwe wiki hii ya mwisho ya kampeni wakati wanajua hawawezi kubomoa leo wala kesho.
Wananchi kadhaa walisikika wakidai kuwa watumishi wote wamemchoka Magufuli na CCM yake walichofanya TANROAD wanafanya hata wakubwa wa idara mbalimbali kumchonganisha na wananchi ili kuwajaza hasira wasimchague tena.
.
Bora wewe umeandika nje ya boxUkisikia tengeneza tatizo kwa makusudi kisha tatua ili majuha wakushangilie, ndiyo hiyo sasa!
Hapo wanajua Magu wakati anaenda Dodoma kumalizia ratiba ya kampeni, atasimama hapo na kusema "...hakuna kuwabomolea wananchi nyumba"!
Ukisikia tengeneza tatizo kwa makusudi kisha tatua ili majuha wakushangilie, ndiyo hiyo sasa!
Hapo wanajua Magu wakati anaenda Dodoma kumalizia ratiba ya kampeni, atasimama hapo na kusema "...hakuna kuwabomolea wananchi nyumba"!
Baada ya hapo atasema "hakuna fidia hapa", "hao wanaosema mtafidiwa wanawadanganya" ila kwa ugumu au woga wa wadanganyika wapo tayari kuendelea kusoma namba!! Jamani mabadiliko sio kukataa amani!! wala sio kujaribu uongozi!! ni kuleta fikra mpya tu, maana watu ni sie sie tuYaani kaka hapo umepiga penyewe kwani hiyo ni geresha inayotayarishwa ili jamaa aje na amri ya kusimamisha zoezi akilenga kura za 28
Fuata sheria! Usitake huruma ya uchaguzi, hata kama itakuwa miaka 50 ijayo kuna watu utawaponza. Waulize waliokuwa ubungo mataa na wana Kimara.Jana tarehe 20 Oktoba TANROAD wamezua taharuki kwa wakazi wa Morogoro baada ya kupita kimya kimya bila ya kuongea na mtu wakipiga X nyekundu na kuandika Bomoa kwenye kuta za nyumba.
Nyumba hizo ambazo ni za makazi na nyingine zimepangishwa kama fremu kwa wafanyabiashara zipo eneo la katikati ya barabara inayotumika kwa sasa na ile ya zamani.
Ni barabara kuanzia Kwa Chambo kupita mizani ya zamani ya Kihonda, Mkundi Mwisho kuelekea Makunganya. Baadhi ya wananchi walisikika wakidai kwa nini X ziwekwe wiki hii ya mwisho ya kampeni wakati wanajua hawawezi kubomoa leo wala kesho.
Wananchi kadhaa walisikika wakidai kuwa watumishi wote wamemchoka Magufuli na CCM yake walichofanya TANROAD wanafanya hata wakubwa wa idara mbalimbali kumchonganisha na wananchi ili kuwajaza hasira wasimchague tena.
.
Hii comment naisave itakuja kuwa useful baadae