TANROAD mkoa wa Morogoro kupiga X nyekundu Bomoa nyumba kando ya barabara Moro - Dodoma kata ya Mkundi, wiki moja kabla ya uchaguzi tuwaeleweje?

DT125

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
378
571
Jana tarehe 20 Oktoba TANROAD wamezua taharuki kwa wakazi wa Morogoro baada ya kupita kimya kimya bila ya kuongea na mtu wakipiga X nyekundu na kuandika Bomoa kwenye kuta za nyumba.

Nyumba hizo ambazo ni za makazi na nyingine zimepangishwa kama fremu kwa wafanyabiashara zipo eneo la katikati ya barabara inayotumika kwa sasa na ile ya zamani.

Ni barabara kuanzia Kwa Chambo kupita mizani ya zamani ya Kihonda, Mkundi Mwisho kuelekea Makunganya. Baadhi ya wananchi walisikika wakidai kwa nini X ziwekwe wiki hii ya mwisho ya kampeni wakati wanajua hawawezi kubomoa leo wala kesho.

Wananchi kadhaa walisikika wakidai kuwa watumishi wote wamemchoka Magufuli na CCM yake walichofanya TANROAD wanafanya hata wakubwa wa idara mbalimbali kumchonganisha na wananchi ili kuwajaza hasira wasimchague tena.
.
 
Kwa ni kwa ajiri ya ujenzi au uchaguzi
 
Tulieni dawa ipenye.
Waulizeni kimara
 
Hapo mmeambiwa kabisa chagua Ccm tubomoe nyumba au mchague Lissu upate haki yako
 
Ukisikia tengeneza tatizo kwa makusudi kisha tatua ili majuha wakushangilie, ndiyo hiyo sasa!

Hapo wanajua Magu wakati anaenda Dodoma kumalizia ratiba ya kampeni, atasimama hapo na kusema "...hakuna kuwabomolea wananchi nyumba"!

Yaani kaka hapo umepiga penyewe kwani hiyo ni geresha inayotayarishwa ili jamaa aje na amri ya kusimamisha zoezi akilenga kura za 28
 
Jana tarehe 20 Oktoba TANROAD wamezua taharuki kwa wakazi wa Morogoro baada ya kupita kimya kimya bila ya kuongea na mtu wakipiga X nyekundu na kuandika Bomoa kwenye kuta za nyumba.

Nyumba hizo ambazo ni za makazi na nyingine zimepangishwa kama fremu kwa wafanyabiashara zipo eneo la katikati ya barabara inayotumika kwa sasa na ile ya zamani.

Ni barabara kuanzia Kwa Chambo kupita mizani ya zamani ya Kihonda, Mkundi Mwisho kuelekea Makunganya. Baadhi ya wananchi walisikika wakidai kwa nini X ziwekwe wiki hii ya mwisho ya kampeni wakati wanajua hawawezi kubomoa leo wala kesho.

Wananchi kadhaa walisikika wakidai kuwa watumishi wote wamemchoka Magufuli na CCM yake walichofanya TANROAD wanafanya hata wakubwa wa idara mbalimbali kumchonganisha na wananchi ili kuwajaza hasira wasimchague tena.
.
Nyie watu wa Morogoro wengi wenu ndio ccm damdam. acha awakomeshe huyo Magufuli wenu
 
Ukisikia tengeneza tatizo kwa makusudi kisha tatua ili majuha wakushangilie, ndiyo hiyo sasa!

Hapo wanajua Magu wakati anaenda Dodoma kumalizia ratiba ya kampeni, atasimama hapo na kusema "...hakuna kuwabomolea wananchi nyumba"!

Kuna ka ukweli kwenye hii post
 
Yaani kaka hapo umepiga penyewe kwani hiyo ni geresha inayotayarishwa ili jamaa aje na amri ya kusimamisha zoezi akilenga kura za 28
Baada ya hapo atasema "hakuna fidia hapa", "hao wanaosema mtafidiwa wanawadanganya" ila kwa ugumu au woga wa wadanganyika wapo tayari kuendelea kusoma namba!! Jamani mabadiliko sio kukataa amani!! wala sio kujaribu uongozi!! ni kuleta fikra mpya tu, maana watu ni sie sie tu
 
Lakini kwanini mjenge kwenye barabara? Mnafanya utendaji wa kazi uwe mgumu jirekebisheni hamtaona bomoabomoa.
 
Jana tarehe 20 Oktoba TANROAD wamezua taharuki kwa wakazi wa Morogoro baada ya kupita kimya kimya bila ya kuongea na mtu wakipiga X nyekundu na kuandika Bomoa kwenye kuta za nyumba.

Nyumba hizo ambazo ni za makazi na nyingine zimepangishwa kama fremu kwa wafanyabiashara zipo eneo la katikati ya barabara inayotumika kwa sasa na ile ya zamani.

Ni barabara kuanzia Kwa Chambo kupita mizani ya zamani ya Kihonda, Mkundi Mwisho kuelekea Makunganya. Baadhi ya wananchi walisikika wakidai kwa nini X ziwekwe wiki hii ya mwisho ya kampeni wakati wanajua hawawezi kubomoa leo wala kesho.

Wananchi kadhaa walisikika wakidai kuwa watumishi wote wamemchoka Magufuli na CCM yake walichofanya TANROAD wanafanya hata wakubwa wa idara mbalimbali kumchonganisha na wananchi ili kuwajaza hasira wasimchague tena.
.
Fuata sheria! Usitake huruma ya uchaguzi, hata kama itakuwa miaka 50 ijayo kuna watu utawaponza. Waulize waliokuwa ubungo mataa na wana Kimara.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom