Tano bora za Ali Kiba na Tano bora za Dimond

USSR123

Member
Feb 18, 2017
76
102
Wana jukwaa , somo tajwa hapo juu lahusika,
Nataja hit Tano za mfalme Ali Kiba na rais Diamond ni zipi zili Kik sana na hata Leo radha bado ziko pale pale zikipigwa?

Ali Kiba
1.single boy
2.macmuga
3.mwana
4.Hadithi
5.Aje

Diamond
1.ukimuona
2.number one(remix)
3.kesho
4.utanipenda
5.make me sing(huwa sielewi ni wimbo wake au alishirikishwa na AKA)

Taja za kwako na wewe,
Note:Timu hazitakiwi
 
tumheshimuni diamond plutnumz tusimfananishe na mitakataka
 
Back
Top Bottom