DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,429
- 3,012
Mwijage alikuwa anapiga kazi.Sa
Sasa mtumbuo Tena umefanyaje vizuri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwijage alikuwa anapiga kazi.Sa
Sasa mtumbuo Tena umefanyaje vizuri mkuu
Macho unayo sema huoni, masikio unayo sema husikii.Unaanzaje kum-dis Sabaya? Kuna kiongozi gani wa cheo chake anayeweza kumzidi huyo kijana kiutendaji?
Mnyonge, umnyonge lakini haki zake wapelekee ndugu zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huyo kijana huwa ninamuona kwenye makamera ya youtube tu,simuelewi haiba yake na sijawahi kukutana mate 'live'.Macho unayo sema huoni, masikio unayo sema husikii.
Unajua maana ya utendaji? Kwako wewe kukurupuka kwenye makamera ndio utendaji, kuzuia mikutano ya ndani ya vyama vya upinzani ndio ukaona utendaji mzur sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya umekiri umemjua kupitia YouTube na sio kumfatilia kwa undani, kwako ukaona kupitia YouTube huyu ndio atakuwa best DC? Kwani mkuu utendaji wao unapimwa kwa kusikia sentensi 2 YouTube tu na sio sehemu nyingine?Mimi huyo kijana huwa ninamuona kwenye makamera ya youtube tu,simuelewi haiba yake na sijawahi kukutana mate 'live'.
Naona anavyojitahidi kusimamia haki za wanyonge na ninafurahishwa naye sana.
Karudisha mali nyingi sana za serikali pamoja na raia zilizokuwa zimeporwa na wajanja.
Lakini katika clips hizo sijaona anazuia mikutano ya kisiasa.
Kama clips hizo zipo, nikizitazama basi nitatuliza akili nizielewe maudhui yake.
Comment yangu umeijibu kiushabiki wa kivyama, kwa sababu mimi ninemsifia kiutendaji na nikatoa angalizo kwamba halingani kiutendaji na Area comissioner yeyote nchini Tz kwa ubora.
Sasa nilitegemea ungenijibu kimantiki kwa kumlinganisha na "...." ukamtaja kwa jina na sifa zake tuone.
Hili la kuja na kuanza kueleza kuwa masikio na macho yangu havifanyi kazi, si sawa.
Tucheze na hoja tuache "maushabiki" ya "mavyama".
Sent using Jamii Forums mobile app
Uli angalia vibaya ile picha.......pale alikuwa ana andika rudia tena kuiangalia ile picha.Jafo aliyekua anasinzia pale mwalimu nyerere int'l conference centre mbele ya rais? Kesho utasema mkuu wa wilaya ya kisarawe