1.Kassim Majaliwa .
Hakikia Pm anastahili pongezi zisizo zidi kifani ni kiongoz mstaarabu mwenye,mwenye weredi na mpambanaji ...amefanya na amesimamia objective na responsibilities zake ipasavyo
2.Rogers Sianga
Huyu ni kamishna wa mamlaka wa kupambana na dawa za kulevya nchin..amefanya kaz nzuri hasa kuzuia na tokomeza kabisa dawa hatalishi kwa maisha ya vijana kama heroin na cocein.
3.Saimon Nyangoro Siro.
Ni mkuu wa jeshi la polisi nchi kwetu ..kwa kwel amejitaid kadri ya uwezo wake kwenye issue zote zinazousiana na uharifu na kulinda raia pamoja na mali zao kikamilifu.mfano issue ya kibiti.
4.Waziri Mahiga.
Huyu ni wazir wa mambo ya nje very tarented kwenye maswala ya diplomacy hana pupa na ni mwelewa .Amemuwakilisha rais kwenye nyazifa mbalimbali zinazo husu inch yetu.
5.Antony Mataka
Huyu ni top contributor kwenye maswala yote ya maendeleo ya kijamii kwenye mkoa wake wa Simiyu.ni mmoja ya viongoz wenye busara sana .Amehamasisha maswala mengi tuu yanayohusiana na jamii ..kama kushirik kwa pamoja kwenye ujenzi wa shule na n.k.
Sent using
Jamii Forums mobile app