uisilamu unakupeleka kubaya sio bure wewe...
1.PM -ziara zake zina matokeo +ve
2.W.Lukuvi-migogoro ya ardhi imepungua hasa mauaji ya wakulima na wafugaji
3.M.Mbalawa-wizara zote alizoongoza zinaonesha mafanikio
4.S.Jafo-Watendaji Tamisemi wameweza kutekeleza wajibu wao mpanga ngazi ya chini
5.U.Mwalimu-huduma za afya zimeanza kuimalika
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Majaliwa Kassim Majaliwa1) Kassim Majaliwa
2) Ummy Mwalim
3) Hussein Mwinyi
Kwa upande wangu naona kuabudu kapiga porojo tu sana hata mambo ya makinikia kashindwa.1. Majaliwa Kassim Majaliwa
2. Prrof Kabudi
3. Mh Jaffo
4. Ummy Mwalimu
Yamkini yale ya public tu ndiyo unaweza muona hivyo lakini nyuma ya pazia anapiga kazi sana huyu jamaa na inasemekana ata mkulu ndiye anamtegemea mpaka kwenye kesi zile za mahakama za kibiashara kule nje na kuna tetesi kuwa ile kesi Tanzania imeshinda.Kwa upande wangu naona kuabudu kapiga porojo tu sana hata mambo ya makinikia kashindwa.
hii list feki,anakosaje mtoto wa baba
😀😀😀😀😀SUKUMA NDANI HIYOOEngneer soma hiyoooo!!!! Cmoon men
hahaaa injinia soma hiyoooooVipi mzee wa nchikichi nchikichi hayumo? Au porojo ndiyo nyingi.
Joy uongo.. Hovyo tu1. Kasim Majaliwa
2.Prof. Makame Mbarawa
3. Prof. Joyce Ndalichako