Tano bora ya wateule wa Rais waliofanya vizuri 2018

Tano bora ya wateule wa Rais waliofanya vizuri 2018

ckmtoro

Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6
Reaction score
1
1.Kassim Majaliwa .

Hakika Waziri Mkuu anastahili pongezi zisizozidi kifani ni kiongozi mstaarabu mwenye weredi na mpambanaji. Amefanya na amesimamia objective na responsibilities zake ipasavyo

2.Rogers Sianga

Huyu ni kamishna wa mamlaka wa kupambana na dawa za kulevya nchini. Amefanya kazi nzuri hasa kuzuia na tokomeza kabisa dawa hatalishi kwa maisha ya vijana kama heroin na cocein.

3.Saimon Nyangoro Siro.

Ni mkuu wa Jeshi la Polisi nchi kwetu. Kwa kweli amejitahidi kadri ya uwezo wake kwenye issue zote zinazohusiana na uharifu na kulinda raia pamoja na mali zao kikamilifu mfano issue ya Kibiti.

4.Waziri Mahiga.

Huyu ni waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa very talented kwenye masuala ya diplomacy, hana pupa na ni mwelewa. Amemuwakilisha Rais kwenye nyadhifa mbalimbali zinazohusu nchi yetu.

5.Antony Mtaka

Huyu ni top contributor kwenye masuala yote ya maendeleo ya kijamii kwenye mkoa wake wa Simiyu. Ni mmoja ya viongozi wenye busara sana. Amehamasisha masuala mengi tu yanayohusiana na jamii kama kushiriki kwa pamoja kwenye ujenzi wa shule na n.k.
 
Wacha wewe.

1) Kassim Majaliwa
2) Ummy Mwalim
3) Hussein Mwinyi
1.Kassim Majaliwa .

Hakikia Pm anastahili pongezi zisizo zidi kifani ni kiongoz mstaarabu mwenye,mwenye weredi na mpambanaji ...amefanya na amesimamia objective na responsibilities zake ipasavyo

2.Rogers Sianga

Huyu ni kamishna wa mamlaka wa kupambana na dawa za kulevya nchin..amefanya kaz nzuri hasa kuzuia na tokomeza kabisa dawa hatalishi kwa maisha ya vijana kama heroin na cocein.

3.Saimon Nyangoro Siro.

Ni mkuu wa jeshi la polisi nchi kwetu ..kwa kwel amejitaid kadri ya uwezo wake kwenye issue zote zinazousiana na uharifu na kulinda raia pamoja na mali zao kikamilifu.mfano issue ya kibiti.

4.Waziri Mahiga.

Huyu ni wazir wa mambo ya nje very tarented kwenye maswala ya diplomacy hana pupa na ni mwelewa .Amemuwakilisha rais kwenye nyazifa mbalimbali zinazo husu inch yetu.

5.Antony Mataka

Huyu ni top contributor kwenye maswala yote ya maendeleo ya kijamii kwenye mkoa wake wa Simiyu.ni mmoja ya viongoz wenye busara sana .Amehamasisha maswala mengi tuu yanayohusiana na jamii ..kama kushirik kwa pamoja kwenye ujenzi wa shule na n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kasim Majaliwa
2.Prof. Makame Mbarawa
3. Prof. Joyce Ndalichako
 
Kwani hiyo list yako ungeitaja kwenye ID yako ya zamani ungepungukiwa nini? Anyways, pengine wewe ni mmojawapo hapo unajipaisha tu.
 
Sioni jina la Mwanri mkuu au lipo ukurasa mwingine
1.Kassim Majaliwa .

Hakikia Pm anastahili pongezi zisizo zidi kifani ni kiongoz mstaarabu mwenye,mwenye weredi na mpambanaji ...amefanya na amesimamia objective na responsibilities zake ipasavyo

2.Rogers Sianga

Huyu ni kamishna wa mamlaka wa kupambana na dawa za kulevya nchin..amefanya kaz nzuri hasa kuzuia na tokomeza kabisa dawa hatalishi kwa maisha ya vijana kama heroin na cocein.

3.Saimon Nyangoro Siro.

Ni mkuu wa jeshi la polisi nchi kwetu ..kwa kwel amejitaid kadri ya uwezo wake kwenye issue zote zinazousiana na uharifu na kulinda raia pamoja na mali zao kikamilifu.mfano issue ya kibiti.

4.Waziri Mahiga.

Huyu ni wazir wa mambo ya nje very tarented kwenye maswala ya diplomacy hana pupa na ni mwelewa .Amemuwakilisha rais kwenye nyazifa mbalimbali zinazo husu inch yetu.

5.Antony Mataka

Huyu ni top contributor kwenye maswala yote ya maendeleo ya kijamii kwenye mkoa wake wa Simiyu.ni mmoja ya viongoz wenye busara sana .Amehamasisha maswala mengi tuu yanayohusiana na jamii ..kama kushirik kwa pamoja kwenye ujenzi wa shule na n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rogers Siyanga.. Sijui huyu jiwe alimtoa wapi. Huyuu Commissioner inawezekana alishawahi kuwa Interpol. Ni mtu mwenye vitu vingi Sana hii biashara ingekua inafanywa na watu wakawaida tu.. Huyu commissioner angeifyekeelea mbali kwa % kubwa saana ingekua imepungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipenzi cha baba Mh. RC Paul Makonda hayupo? Hii itakuwa fake list...
 
Kwenye swala la ulinzi wa watu na Mali zao hii wizara imefanya vizuri. Mwisho wa mwaka hakuna ajali zilizozoeleka.

Entertainment: waliofanya vizuri
1. Mroto
2. Mwanri
 
Namba 1 alitakiwa awe yule kamanda Mweusi aliyezuia maandamano ya 26 April 2018.
 
Back
Top Bottom