Tano Bora ya Makanisa yenye Vyuo Vikuu vingi Ulimwenguni...

Tano Bora ya Makanisa yenye Vyuo Vikuu vingi Ulimwenguni...

Duniani kuna Madhehebu ya kikristo zaidi ya Million 37 ...
Kati ya haya yafuatayo ndio Makanisa yenye vyuo vikuu vingi ulimwenguni...

1: Kanisa Katoliki: Wanazaidi ya Vyuo vikuu 1300 ulimwenguni kote.

2:Waanglikana:Wanazaidi ya Vyuo 131 ulimwenguni kote.

3:Waadventista Wasabato (SDA ) Wanavyuo zaidi ya 120 ulimwenguni kote

4:Wabaptisti hawa wanavyuo zaidi ya 72 ulimwenguni Kote.

5: Kanisa la kristo (Church of Christ) hawa wanavyuo takribani 31 ulimwenguni kote, Wakimiliki chuo kikuu kiitwacho pepperdine university chuo chenye mandhari nzuri inasadikiwa kuliko vyuo vyote ulimwenguni.


"Mkamate sana elimu, usimuache aendezake maana yeye ndio uzima wako".
Lutheran isiwepo?
 
sawa mkuu, kwa sababu waingereza nao walitawala sehemu kubwa ya dunia na huko ndiko hilo neno Romish Catholic au Popish Catholic au Roman Catholic ilianzia hapo nimelewa.
Mwanzoni nilikuwa najua kwa sababu Ile Roman Empire ilifanya maasi na Kumuua hadi Yesu nikajua labda walibadilisha ili kujitenga na tawala zile kimtazamo hasa kuonyesha wale sio hawa.

Issue ilikuwa ni King Henry wa nane (Henry VIII), ambaye alitaka kuivunja ndoa yake ya kwanza (aliishia kuwa na Ndoa sita), baada ya Askofu wake kukataa hiyo ndoa kuvunjwa bila sababu sahihi za Kikatoliki, King Henry aliamua kupeleka issue yake kwa Papa lakini Papa pia akakataa,
so baada ya kuona hivyo ndio akaamua kujitoa kwenye Kanisa Katoliki na kuanzisha Kanisa lake la Anglican, actually hakuanzisha Kanisa jipya bali aliongeza baadhi ya vitu na pia alipunguza baadhi, so ukiangalia general strucure ya Anglican na Katoliki ni almost kama Kanisa moja kwa maana ya kuwa utaratibu wote unafanana ukitoa tofauti chache hizo nilizozisema

So hapo ndio jina Roman catholic lilipoanzia, yaani Catholic yao Waingereza na hiyo ya Papa, lakini mpaka mwisho King Henry VIII hakuwa muumini wa Anglikan bali Catholic
 
Tutajie na vyuo vya kiislam ili kuwa fair
hawa inaonekana Vision ya elimu dunia haikupokelewa kwa mikono miwili kwa Muda mrefu.
hivyo ndio maana hawajahusishwa pia list ni kwa wajili ya Wanaomwamini Kristo na madhehebu zao. Waislam nao wanamadhehebu zao nyingi tu kama wapo watakuja kuzichambua na kutupa updates tusiwasemehe.
 
kanisa lilianzia Yelusalem alipokuwepo yesu. hapakuwa na Ufufuo na uzima,Catholic church,SDA wala kakobe. wote wamechepukia hapo hata kama wengine ni michepuko ya mchepuko.
yaani wamechepukia kutoka RC.

Labda ungeeleza hayo makanisa yamechepukaje kutoka Kanisa la Yelusalemu?, maana ukisoma ufunuo unaona mpaka Uturuki, Ugiriki, kulikuwa na Makanisa,
nadhani ipo fact sehemu kuwa Makanisa yote yanajulikana yalianzishwa na nani na mwaka gani isipokuwa Catholic pekee ndio halina tarehe wala mwanzilishi wake
 
hawa inaonekana Vision ya elimu dunia haikupokelewa kwa mikono miwili kwa Muda mrefu.
hivyo ndio maana hawajahusishwa pia list ni kwa wajili ya Wanaomwamini Kristo na madhehebu zao. Waislam nao wanamadhehebu zao nyingi tu kama wapo watakuja kuzichambua na kutupa updates tusiwasemehe.
Yeah, ngoja ni muulize FaizaFoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ungeeleza hayo makanisa yamechepukaje kutoka Kanisa la Yelusalemu?, maana ukisoma ufunuo unaona mpaka Uturuki, Ugiriki, kulikuwa na Makanisa,
nadhani ipo fact sehemu kuwa Makanisa yote yanajulikana yalianzishwa na nani na mwaka gani isipokuwa Catholic pekee ndio halina tarehe wala mwanzilishi wake
kweli inawezekana hawana tarehe maana wao ndio wanaratibu vitu vingi enzi.
lkn historia inaonyesha wamekuwepo wakristo au wafuasi wa yesu kipindi chote ambao hawakuwa assocciated kwa vyovyote vile na catholic na taratibu zao na wengine kwa kupinga walipotezwa.
siamini kabisa Barua alizokua anayaandikia Makanisa Paulo yaliyokuwako Korintho, Efeso,rumi, galatia, na makanisa mengine yaliyokuwako enzi hizo yalikuwa ni Catholic churches.
Maana Ninachojua catholic ni mchanganyiko wa imani za Kibibilia, their own dogmas, greece cultures, maoni na mapendekezo ya watu mfano historia ya Watu/catholic kusali Siku ya kwanza ya Juma au jumapili ni mapendekezo ya mtu na hakukuwa na biblical ground yoyote na inasemekana kabla ya ubunifu huo utaratibu ulikuwa tofauti.
ndio maana ni vigumu na hakuna ushahidi wa kushiba kwamba catholic ni Continuation ya Early christian community na papa alipokea kijiti kutoka kwa petro maana mambo mengi yanapingana na yale aliyoachiwa na yesu na imani za kibibilia Mfano Mapokeo yesu kayapiga marufuku kule mapokeo ni sehemu ya imani.
Huu mkanganyiko unanifanya kuamini kuwa Katika zama zote za Ukristo bila kujali nani alikuwa dorminant na powerful walikuwepo walioitunza imani ya Yesu bila contamination yoyote, na lazima hawa walikuwa wapinzani wa Catholic na taratibu zake.

Turudi kwenye elimu mkuu,huko naona tunachepuka kutoka njia kuu.
 
kweli inawezekana hawana tarehe maana wao ndio wanaratibu vitu vingi enzi.
lkn historia inaonyesha wamekuwepo wakristo au wafuasi wa yesu kipindi chote ambao hawakuwa assocciated kwa vyovyote vile na catholic na taratibu zao na wengine kwa kupinga walipotezwa.
siamini kabisa Barua alizokua anayaandikia Makanisa Paulo yaliyokuwako Korintho, Efeso,rumi, galatia, na makanisa mengine yaliyokuwako enzi hizo yalikuwa ni Catholic churches.
Maana Ninachojua catholic ni mchanganyiko wa imani za Kibibilia, their own dogmas, greece cultures, maoni na mapendekezo ya watu mfano historia ya Watu/catholic kusali Siku ya kwanza ya Juma au jumapili ni mapendekezo ya mtu na hakukuwa na biblical ground yoyote na inasemekana kabla ya ubunifu huo utaratibu ulikuwa tofauti.
ndio maana ni vigumu na hakuna ushahidi wa kishiba kwamba catholic ni Continuation ya Early christian community na papa alipokea kijiti kutoka kwa petro maana mambo mengi yanapingana na yale aliyoachiwa na yesu na imani za kibibilia Mfano Mapokeo yesu kayapiga marufuku kule mapokeo ni sehemu ya imani.
Huu mkanganyiko unanifanya kuamini kuwa Katika zama zote za Ukristo bila kujali nani alikuwa dorminant na powerful walikuwepo walioitunza imani ya Yesu bila contamination yoyote, na lazima hawa walikuwa wapinzani wa Catholic na taratibu zake.

Turudi kwenye elimu mkuu,huko naona tunachepuka kutoka njia kuu.

Samahani Kaka, naona tutaharibu maudhui ya huu uzi na tutaenda nje ya maada, hope utaanzisha uzi mwingine ili tujadili hayo
 
Samahani Kaka, naona tutaharibu maudhui ya huu uzi na tutaenda nje ya maada, hope utaanzisha uzi mwingine ili tujadili hayo
poa pouwa hayo yamejadiliwa sana, lkn kikubwa ukristo wenyewe na Bibilia ni university ambayo unagraduate siku ya kufa, maana ukiwa hai unajifunza bila kikomo.
Tuko pamoja
 
Back
Top Bottom