Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 680
- 2,335
😂😂Mimi ni mbunge na possible ntakuwa Waziri
Mke wangu ni Mbunge
Ma’ mkwe ni namba 1
Shem ni namba 1 kisiwani
Je mimi ni nani?
Dah, hadi uzuni aisee ...anyway,nisije kumkufuru Mungu wangu bure lakini...Baadhi ya wateuliwa wa nafasi ya Ubunge leo kupitia ccm ni wana familia wa familia maarufu hapa Tanzania.
Ni kama wanasubiria muda waende na madereva wao wa VX LC 300 kwenda kuapishwa Dodoma.
Chama kina wenyewe na wenyewe hawana kelele huku mitandaoni.
DJ naomba kibao cha “Kalayi boeing” nisindikize kinywaji changu taratibu!
Sisi wengine tuendelee kutafuta ajira tamisemi
View attachment 3423635View attachment 3423636View attachment 3423638View attachment 3423640View attachment 3423641View attachment 3423644View attachment 3423649
Ndio inapaswa kuwa hivyoUkoo wa Mwinyi wanakabia juu🤣🤣
🥶🥶Ndio inapaswa kuwa hivyo
Wewe ni kifua kipana!...Mimi ni mbunge na possible ntakuwa Waziri
Mke wangu ni Mbunge
Ma’ mkwe ni namba 1
Shem ni namba 1 kule ng’ambo
Je mimi ni nani?
Ukoo wa Mwinyi, Kikwete na Samia wameukamata mfumo vizuri snUkoo wa Mwinyi wanakabia juu🤣🤣
Hiyo kwa sisiemu kawaida yao mkuu .Ukoo wa Mwinyi, Kikwete na Samia wameukamata mfumo vizuri sn