King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 54,686
- 76,153
Ningekuwa Kwetu Mirumbani Ningemlilia WALID KABOUROU.(M.A.P)
Yeye ndiye aliyepandikiza mbegu nzuri ya Watanzania kukataa kuburuzwa na kusimamia haki zao, ambapo kupitia kwake mwanga wa ukombozi katika siasa za vyama vingi ulienea kote nchini.
Jambo hili alilifanya zaidi hapa Kigoma, kwa maana nyingine, Kigoma ndio mkoa wa kwanza kuonesha kwa vitendo utayari wa kupokea vyama vingi nchini, yote ni kwa sababu ya kazi ya ‘Uamsho’ ya Dkt. Kabourou. Ni mbegu hii ya mageuzi aliyoipanda ndiyo iliyofanya wakati flani Mkoa wote wa Kigoma ukawa na idadi kubwa ya wabunge kutoka vyama vya upinzani.
Haha, Hakika Mwenyezi Mungu angekuwa mwanadamu hukumu ingekuwa ngumu. Sidhani km marehemu hakujua nafasi aliyoichukua ingempa jina gani hadi kufa. Ya siasa yameishia ktk hukumu ya siasa, Yamebaki ya Mungu.Hakika Chadema wanapaswa kumuenzi mwamba huyu, kumuita msaliti ni kumkosea heshima maana kumbe hata Ofisi wanayotumia leo alinunua yeye.
Sidhani km inaleta maana sana kusema Ronaldinho kwa vile alipewa jukumu la kumuongoza Messi ktk chumba cha wakubwa ndio alimfundisha mpira. Tufikie mahali tuache kuzidisha ujinga hadi kuharibu kila kitu.Mbowe alikuwa mwanasiasa mwenye vigezo vya kuingi ktk chama,kuwa karibu na mkongwe ili kuanza ppitia miendendo ya chama hakumaanishi asingekuwa mwanasiasa bila kaburu.Sidhani km Kaburu alikuw ana somo la siasa za zaidi yake ambazo alimfundisha Mbowe tuu na yeye hakujifunza.Kaburou ndiye alimfunza Mbowe siasa.
Teh teh. Mkuu sio muda wa kumhukumu ingawa Idd Amini,Hitler,Karl Peters na wengine tunawalaani sana ingawa akina Kinje,Mkwawa na wengine tunawaita mashujaa ghafla wakati tunaowalaani wanaushiaid mzuri sana wa dili za utumwa za hawa jamaa.Ila ningeshauri wanaotaka futa baadhi ya vitu vya kujifunza ktk njia za huyu mzee wetu, wanakosea sana.Huyu Kabourou akiwa CHADEMA mwaka 1994 nakumbuka watu wengi walipigwa, wengine vilema wengine walikufa kwa ajili yake.
Badae akaja kuhama CHADEMA na kuhamia CCM na kusahau yote yaliyotokea. Huyu mtu hatokuja kusahaulika ktk historia ya wana Kigoma.
nhhKaburu alivyoama chadema dada yangu akuamini na kuanzia hapo ikapatwa ugonjwa uliosababisha kifo chake
Huyo amezaliwa 1995 unategemea atamjua kaborou?Vijana wa siasa za mihemuko utawajua tu.
Tatizo mmekaririsha wapinzani ni Mbowe na Lema tu.
NotedMkuu punguza ukali wa maneno.!