Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Tangu serikali hii imeingia madarakani haijawahi tokea watumishi wa umma wakafanya Kazi kwa uhuru hata siku moja tangu mh. huyu aunde serikali yake utadhan aliapa kupambana na watumishi wa umma maana kumekuwa na usumbufu usio koma kwa watumishi kitu ambacho kinarudisha nyuma hari ya utendaji na kukatisha tamaa kabisa,
Imekuwa kama kukomoa watumishi sijui kosa Lao ni lipi maana badala ya watumishi kuifurahia Elimu Yao eanaijutia Elimu Yao na wanajuta kuwa warumish chini ya serikali hii
Watumishi hawakai wakatulia wakajenga maisha Yao kila Mara uatasikia Hilo Mara lile ili mradi tu wasumbuke mfano
1 . Liloanza la watumishi hewa
2. Likaja la vyeti feki hili likafyeka hadi haki zao za kiutumishi na likadumu kwa zaid ya mwaka
3. Likaja la kuhamisha watumishi idara mbalimbali afya Elimu nk ambao hadi Leo hawajalipwa stahiki zao
4. Limekuja Hilo tena kuhamisha watumushi idara mbalimbali wakutoka Dar kwenda Dodoma wa kutoka hosptali za rufaa kwenda za mikoa na wilaya na sasa wakutoka sekondari kwenda primary pamoja na hayo yote wengi wa walio hamishwa hawajalipwa stahiki zao reshuffle iliyo fanyika mwaka Jana kwa watumish halmashauri nyingi hawajalipwa hadi sasa na bado hao hao tena wana hamishwa tena
Hivi serikali hii na wenye mamlaka mnazingatia kweli haki na utu wa watu hawa au kwa vile nivyi mna mamlaka basi hamna haja ya kujua maumivu ya wengine?
Maana haya sasa ni manyanyaso yaliyo vuka mipaka kipindi cha.uhakiki watu walitumia Pesa hadi za mikopo wana lala guest na vijimishahara vyennyewe ndio hivyo kidogo lakin ealivumilia serikali itimize azma yake lakin bado serikali haichoki kuwa sakama kila uchwao
Vitisho kila siku maneno ya hovyo wanatamkiwa wao haki zao wana nyimwa hawana uhuru wa kufanya Kazi kwa furaha. haki zao ndio hizo tena kwa miaka miwili wanaongezewa elfu nane. lakin masimango hayaishi kutwa kutishwa na kunyanyaswa na wateţndaji wawilaya, wakurugezi,wakuu wa wilaya na mikoa bila huruma
Analazimishwa kufanya Kazi kwa weledi wakati huo haki zake hapewi
Serikali mnaweza jiona mko sahihi kwa sababu ninyi hamapati shida yeyote wala maumivu yeyote lakin mnacho kifanya kwa watumishi wa umma ambao kimantinki ndio wasaidizi wenu kiuttendaji ngazi ya local government kwakwelI NI UNYANYASAJI MKUBWA NA UONEVU MKUBWA
Muwe na utu walau kidogo haya mnayo wafanyia watumishi mkifanyiwa ninyi mngekuwa na amani kabisa mioyoni mwenu? pamoja nasema uzalendo ni uzalendo gani ambao mnauhubiri huku wengine wana nyanyaswa na haki zao wakinyimwa?