Tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa ni taarifa za Wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Wabunge. Tukio linakinzana na uhalisia wa Rais kuongea na Vijana

Saa 7 dak 26 eti ndo anaanza kuongea. Ndo maana me huwa sihudhurii hizi mambo kabisa.
 
Izo ni protoko na lazima protoko ziwepo mahali popote anapokuwa raisi
Hizo protoko tunazijua na hatuna shida nazo, point hapa ni mkutano ulikuwa kati ya vijana na rais ndio wangepaswa kuongea kwa muda mrefu na sio kama ilivyo-sasa, hapo rais akiongea ndo mkutano unaisha hvy bila kijana yeyote kuongea.
 
Binafsi nilishajiapia kuwa, sitokaa kushiriki kitu chochote kinachohusu siasa

Mambo yanayoendelea kwenye huo mkutano ni upumbavu tuu
 
Maccm ndivyo walivyo na akili zao za kushikiwa.

Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.

Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.

Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni taarifa tu,uhalisia wa tukio umepotea
 
Back
Top Bottom