Tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa ni taarifa za Wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Wabunge. Tukio linakinzana na uhalisia wa Rais kuongea na Vijana

Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.

Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.

Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni taarifa tu,uhalisia wa tukio umepotea
Inaonekana wanaompangia walichemka. Kuna wakati alianza kuongea mdada mmoja nikaona rais anamgeukia msaidizi wake, kama anauliza hii ratiba vipi? Baada ya hapo akaja kuongea mdada aliyejitambulisha kama mbunge toka CHADEMA na mara tu alipomaliza nikaona Rais kasimama bila kukaribishwa, akavamia mimbari na kuanza kutoa hotuba yake!
 
Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.

Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.

Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni taarifa tu,uhalisia wa tukio umepotea
Kabisa unatoka unakotoka kwenda kupiga soga na Rais? Next time uwe serious. Kama unafikiri kupiga soga ni kazi basi fikiri mara mbili mbili.
Msimlaumu Rais. Anatimiza wajibu wake. Anatakiwa awe karibu na wananchi wake
 
Katika taarifa zilizotolewa na viongozi mbalimbali was serikali kuwa Mhe Rais ataongea na vijana.

Cha ajabu tangu saa 3 Asubuhi hadi sasa saa 6:25 ni taarifa za Wakuu wa mikoa wa kanda na taarifa za Mawaziri na HOYE NYINGI.

Mbona tukio linakinzana na uhalisia wa RAIS KUONGEA NA VIJANA.
4hrs ni taarifa tu,uhalisia wa tukio umepotea
Sisi wanaume tunasuiri zamu yetu

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom