Tangu mwaka 2015 - 2017..Graduates wameajiriwa wangapi

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Raisi wa nchi yeyote anapimwa kwa Uchumi na Ajira

Tangu 2015 mpaka 2017..kuna graduates wangapi wameajiriwa Rasmi katika sekta binafsi na serikali?

Wizara ya Kazi - Inayo DATABASE kuhusu hizi taarifa?

Je, Kuna graduates (College and Varsity) wangapi wako bila Ajira Nchini Tanzania?

Ndio hilo tu.

Najua Sera ya Viwanda imeajiri wengi....Ila nataka taarifa sahihi ndio nitoe Pongezi
 
Kwanini Wizara ya Kazi isiwe na hizi taarifa kwenye DATA BASE

Hii inasaidia Serikali kujua PAYE imeongezeka au imepungua
 
Raisi wa nchi yeyote anapimwa kwa Uchumi na Ajira

Tangu 2015 mpaka 2017..kuna graduates wangapi wameajiriwa Rasmi katika sekta binafsi na serikali?

Wizara ya Kazi - Inayo DATABASE kuhusu hizi taarifa?

Je, Kuna graduates (College and Varsity) wangapi wako bila Ajira Nchini Tanzania?

Ndio hilo tu.

Najua Sera ya Viwanda imeajiri wengi....Ila nataka taarifa sahihi ndio nitoe Pongezi
Acha uchochezi kijana usije ukaishia shimo la tewa.
 
Walimu ndio hawapati kabisa maana nasikia ana mpango wa kuwatoa secondary na kuwapeleka primary
 
Raisi wa nchi yeyote anapimwa kwa Uchumi na Ajira

Tangu 2015 mpaka 2017..kuna graduates wangapi wameajiriwa Rasmi katika sekta binafsi na serikali?

Wizara ya Kazi - Inayo DATABASE kuhusu hizi taarifa?

Je, Kuna graduates (College and Varsity) wangapi wako bila Ajira Nchini Tanzania?

Ndio hilo tu.

Najua Sera ya Viwanda imeajiri wengi....Ila nataka taarifa sahihi ndio nitoe Pongezi
Ukiona hawajaajiriwa halafu mambo serikalini yanakwenda fahamu kuwa sio wa muhimu
 
Ajira kubwa kwa sasa kwa graduates ni kuokota chupa chafu na kuziuza kwa kilo moja tsh 200/-

Laana kubwa sana .
 
Ukiona hawajaajiriwa halafu mambo serikalini yanakwenda fahamu kuwa sio wa muhimu

Tumeaminishwa kwenye majukwaa kwamba serekali hii inafanya vizuri sana, hivyo tulitarajia hayo tuyaone kwenye ajira kuongezeka sanjari na misharahara kupanda. Ila kwa mujibu haya maelezo yako wachache tunaosema mambo yanazidi kuharibika tunazidi kuamini tunachoamini.
 
Back
Top Bottom