Tangu mwaka 2015 - 2017..Graduates wameajiriwa wangapi

Raisi wa nchi yeyote anapimwa kwa Uchumi na Ajira

Tangu 2015 mpaka 2017..kuna graduates wangapi wameajiriwa Rasmi katika sekta binafsi na serikali?

Wizara ya Kazi - Inayo DATABASE kuhusu hizi taarifa?

Je, Kuna graduates (College and Varsity) wangapi wako bila Ajira Nchini Tanzania?

Ndio hilo tu.

Najua Sera ya Viwanda imeajiri wengi....Ila nataka taarifa sahihi ndio nitoe Pongezi
Vipimo hivyo si kwa Rais wa nchi yenu .
 
Raisi Atoe Msimamo kuhusu FAO LA KUJITOA

Raisi ni mtetezi wa wanyonge
 
Kama tunazalisha graduates wanaosubiria kuajiliwa basi Mungu atusaidie. Graduate ni mutu ya kutengeneza ajira, siyo mutu ya kulialia na kutafuta ajira!
 
Naamini umeandika makusudi acha kuharibu kiswahili mutu=Mtu.
 
Raisi wa nchi yeyote anapimwa kwa Uchumi na Ajira

Tangu 2015 mpaka 2017..kuna graduates wangapi wameajiriwa Rasmi katika sekta binafsi na serikali?

Wizara ya Kazi - Inayo DATABASE kuhusu hizi taarifa?

Je, Kuna graduates (College and Varsity) wangapi wako bila Ajira Nchini Tanzania?

Ndio hilo tu.

Najua Sera ya Viwanda imeajiri wengi....Ila nataka taarifa sahihi ndio nitoe Pongezi

Nafikiri ni wa 4 tu.
 
Ajira ni pamoja na kujiajiri. Ukiona Mhandisi graduate au Mhasibu, au Daktari akiomba ajira ujue IPO shida. Mawazo yako ni ya mgando unadhani ajira ni ukarani tu.
 
Kama tunazalisha graduates wanaosubiria kuajiliwa basi Mungu atusaidie. Graduate ni mutu ya kutengeneza ajira, siyo mutu ya kulialia na kutafuta ajira!
Watu kama nyie wapo wengi sana unaongea hayo huku umejishikiza kwenye ka ajira tena unanyenyekea kwel ajira lazima ziwepo huo uwekezaji unahitaj uajiri skilled personal mfano kujiajili watu huwaza kulima nyanya kufungua mpesa lkn benki zinahitaji wachumi ili ziboreshe huduma watu ni madaktari wakajiajiri wapi mfano mkemia na microbiologist anahitaji maabara afanye kazi ataitoa wap maabara hyo ya mabilioni binafs watu kama ww huwa nawaona ni wanafiki.
 
hakuna nchi yeyote duniani imefanikiwa kuajiri wasomi.wake wote wacha niendelee kulima mie.
 
Mkuu takwimu kama hizi Serikali haiziweki maana wanajua wataumbuka kwa kuonyesha jinsi graduates kwa asilimia kubwa zaidi ya 75% wanasaga lami mtaani na tamko la Serikali ni msingoje kuajiriwa MJIAJIRI!!! Utajiajiri vipi wakati unatoka familia ya kimaskini huna mtaji hata wa elfu 50. Cha kushangaza wao wenye uwezo wa kuwapa watoto mitaji mikubwa ya kuweza kujiajiri wanawaingiza watoto wao kinyemela TRA, BoT na Mawizara mbali mbali. Mniache niinyooshe nchi!! Seriously!? 😱😱😱

Raisi wa nchi yeyote anapimwa kwa Uchumi na Ajira

Tangu 2015 mpaka 2017..kuna graduates wangapi wameajiriwa Rasmi katika sekta binafsi na serikali?

Wizara ya Kazi - Inayo DATABASE kuhusu hizi taarifa?

Je, Kuna graduates (College and Varsity) wangapi wako bila Ajira Nchini Tanzania?

Ndio hilo tu.

Najua Sera ya Viwanda imeajiri wengi....Ila nataka taarifa sahihi ndio nitoe Pongezi
 
Ajira ni pamoja na kujiajiri. Ukiona Mhandisi graduate au Mhasibu, au Daktari akiomba ajira ujue IPO shida. Mawazo yako ni ya mgando unadhani ajira ni ukarani tu.

Yeye amezungumzia ajira sio kujiajiri.
 
Kuna nafasi ngapi mpya zimetengenezwa nje ya zile zilizokuwepo?
 
ajira zaidi ya 52000 zimtolewa na serikali kwa kada mbalimbali
 
Uhakiki uko hatua nzuri.Sasa tunahakiki ni wapinzani wangapi bado hawanunuliwa na wangapi wako jela na kesi zao ziko hatua gani?
Tukimaliza ajira mwaaaa!
 
Back
Top Bottom