Tangu mwaka 2015 - 2017..Graduates wameajiriwa wangapi

Tangu mwaka 2015 - 2017..Graduates wameajiriwa wangapi

Mkuu takwimu kama hizi Serikali haiziweki maana wanajua wataumbuka kwa kuonyesha jinsi graduates kwa asilimia kubwa zaidi ya 75% wanasaga lami mtaani na tamko la Serikali ni msingoje kuajiriwa MJIAJIRI!!! Utajiajiri vipi wakati unatoka familia ya kimaskini huna mtaji hata wa elfu 50. Cha kushangaza wao wenye uwezo wa kuwapa watoto mitaji mikubwa ya kuweza kujiajiri wanawaingiza watoto wao kinyemela TRA, BoT na Mawizara mbali mbali. Mniache niinyooshe nchi!! Seriously!? 😱😱😱

Kweli Mkuu

Pia Licha ya graduate fresh....Hata mfanyakazi kujiajiri ni ngumu

FAO LA KUJITOA au Mikopo ya hii mifuko hawatoi kwa wanachama wake...Je kujiajiri kutawezekanaje?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani ni sera za ukandamizaji tu kwa Watanzania mbele kwa mbele. Haiwezi nchi kuwa na maendeleo wakati wananchi wake kwa mamilioni hawana ajira na Serikali haina sera za aina yoyote kusaidia wananchi hao.

Kweli Mkuu

Pia Licha ya graduate fresh....Hata mfanyakazi kujiajiri ni ngumu

FAO LA KUJITOA au Mikopo ya hii mifuko hawatoi kwa wanachama wake...Je kujiajiri kutawezekanaje?
 
Back
Top Bottom