'Tangu lini CCM ikawa msemaji wa vyama vingne?'-ZITTO

'Tangu lini CCM ikawa msemaji wa vyama vingne?'-ZITTO

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,214
Nimepita kwenye wall ya zitto amesema kuwa CHADEMA Ndo walioomba wakutane na mkuu wa nchi kama kuna vyama vingne navyo viombe kujadili mustakabali wa katiba,na si ccm kuwasemea hao wengine
 
Nimepita kwenye wall ya zitto amesema kuwa CHADEMA Ndo walioomba wakutane na mkuu wa nchi kama kuna vyama vingne navyo viombe kujadili mustakabali wa katiba,na si ccm kuwasemea hao wengine
Ni kweli kabisa wakuu. Magamba wamepania kuchafua amani ya nchi kwa visingizio mbalimbali. Kwani hao wengine hawakuona umuhimu wa kukutana na JK? Ina maana kuwa Ccm ndiyo wasemaji wao? Aibu kwa magamba
 
Wamezoea kutuburuza nw Cdm 2na nguvu ya uma wao wana ngvu ya madaraka,pia msisahau vyama vingne vimekua kama matawi ya ccm kujishikiza kama bi mdogo cuf, ss vidume tumetaka kuonana na presdaa msemaji wa ccm umetoka wap kuja kusemea upinzan au ndo umbeya 2kupe maji na bakul?
 
Zitto yuko sahihi. Hoja ya kuonana na rais ni ya cdm siyo ccm. Kama ccm wanataka vyama vikutane na rais basi nao wamwombe afanye hivyo wakati mwingine.
 
Najua Zitto amemkejeli kiaina Nape kwa vile amekurupuka na tamko ambalo chama makini kisingelitoa. Watu kama Nape hawastahili hata kufanya kazi ya kupanga files ofisini kwa naibu katibu mkuu wa CDM kwani uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo wa Nape unatia shaka, anakurupuka tu.
 
Zitto yuko sahihi. Hoja ya kuonana na rais ni ya cdm siyo ccm. Kama ccm wanataka vyama vikutane na rais basi nao wamwombe afanye hivyo wakati mwingine.

unajua CCM akili zimeganda hawana tena wazo jipya la kuwaletea watu wanasubiri wenye akili na wanaojua matumizi yake wakishasema ndiyo wapate cha kusema

habari ndiyo hiyo
 
Nimepita kwenye wall ya zitto amesema kuwa CHADEMA Ndo walioomba wakutane na mkuu wa nchi kama kuna vyama vingne navyo viombe kujadili mustakabali wa katiba,na si ccm kuwasemea hao wengine

Kipanda uso kibaya sana....
 
Haya maswala ya kurukia hoja za vyama vyingine yanaigharimu CCM, Institution yoyote ikiwa na msemaji kilaza mara nyingi huwa anareflect madudu ya viongozi wake wanaomtuma kunena anayoyanena.Naamini haya anayoyanena Nape kwa kicheko na tabasamu usoni, moyoni mwake huwa na huzuni coz anajua hayakubaliki na ni style za enzi za TAA.
 
CCM ni msemaji wa watanzania wote bila kujali tofauti za ki itikadi.
Kwani CHADEMA wanachotaka kujadiliana naRais ni siri? Kama ni siri basi wangemuomba kwa faragha.
Bado siajelewa uwepo wa watanzania wengine katika mazungumzo hayo unawanyima vipi CHADEMA usingizi?
 
Back
Top Bottom