Tangu Jana jioni hapokei simu hajibu meseji

Tangu Jana jioni hapokei simu hajibu meseji

Ahahaahhaah duh udomo Zege ni pamoja na kupenda kitonga
 
Usijali sio huyo pekee watu wengi hawapokei simu zao tangu jana jioni, wengine wamezima kabisa.
 
Uzur wa JF unaweza kupost chochote na maisha yakaendlea..
Hata kama ni uhuru, huyu mdau kapitiliza! Najikuta nakumbuka "If you think you have that kind of freedom — not to that extent’"
 
Sasa kosa langu liko wapi kuandika dukuduku langu ndo kosa au kuwaambia nimemtia wakati wa bleed ndo kosa au kosa ni lipi ,sijampa mimba wala nini
Hata kama ni uhuru, huyu mdau kapitiliza! Najikuta nakumbuka "If you think you have that kind of freedom — not to that extent’"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom