3000?
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
3k unamaana $3000 au tzs 3000? mwekundu
Msaada wa 3k??? Tumejuana within two weeks???Kuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
tatizo aliyekupenda hukumpenda ndo malipo hayoMsaada wa 3k??? Tumejuana within two weeks???
Utapeli upo wa aina nyingi saana
Kuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Msaada wa 3k??? Tumejuana within two weeks???
Utapeli upo wa aina nyingi saana
Shida sio kutoa hela shida ni quality yako inaendana na hiyo hela?huwezi nunua kiatu cha laki 3 mtumbani[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Huna mapenzi nae jamaa unataka hela zake tu na unaficha makucha. Mtu anakuoa anakuweka ndani bado unataka kumkomoa, shida ni nini?mijanaume ya sasa haina hela.Ila sometimez na sisi wadada tunazidi....utafikiri baba yako huyo! Mi niliyenae mpaka nimefanikiwa kuniposa ni hapo tu....anazo ila nimechunia kama sizioni maana najua akiniweka ndani nitazila mpaka aombe poo.Baba fulani,"nitumie laki 1 mtoto pampers zimeisha,kumbe zipo tele"
hivi kwa mfano nimekutongoza hata mchezo hujanipa umeanza kuniomba hela nikakupa siku ya kwanza yapili nikastuka nikawa kimya. ukaendelea kuninipigia sim na text sikujibu.unaendelea tena na tena. nakuelewaje mtu kama wewe?Akufukuzaye akwambii toka!!
Ha ha you made my day [emoji23][emoji23]Shida sio kutoa hela shida ni quality yako inaendana na hiyo hela?huwezi nunua kiatu cha laki 3 mtumbani[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app