Tangazo

kwaji

Senior Member
Nov 3, 2013
186
32
Chama cha mawakala wa huduma za pesa kwa simu za mkononi Tanzania napenda kuwaalika kwenye MKUTANO wa mawakala wanatoa huduma za pesa kwa simu za mkononi Tanzania utakaofanyika ktk hotely lamada iliyopo ilala trh31 /05/2014 Jumamosi saa tatu asubuhi paia wazamini wetu ppf karibu
 
Back
Top Bottom