Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hapo kazi ipo....
Mtani mbona kama Povu...Watukome!
hahahahahaahah, kweli kabisa nimetoa povu tena la sabuni ya 'PWINTO PWINTA" lile tangazo la mzee MajutoMtani mbona kama Povu...
Anaenda na barua yenye maelezoje, kama mwanamke hamjui mhusika itakuwaje? na kama alibakwa pia atafanyaje?
hahahahahaahah, kweli kabisa nimetoa povu tena la sabuni ya 'PWINTO PWINTA" lile tangazo la mzee Majuto
Ndo aende akatoe maelezo serikali za mitaaje, kama mwanamke hamjui mhusika itakuwaje? na kama alibakwa pia atafanyaje?
Atamtafuta mmoja kwa dharura..je, kama mwanamke hamjui mhusika itakuwaje? na kama alibakwa pia atafanyaje?