tangazo

hashycool

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
6,555
2,829
daktari.jpg
 
yupo sumbawanga au wapi....niagizie niwahi mara moja....kuna hitaji langu hapo
 
sumbawanga lakini pia huwa anafanya private sessions mtafute ingawa ka nahisi nafahamu hitaji lako hapo
 
yupo sumbawanga au wapi....niagizie niwahi mara moja....kuna hitaji langu hapo

Usihofie umbali,nenda tu maana nauli ya kurudi hutaihitaji,akishakutatulia shida yako atakuchorea viduara saba ardhini usiku wa manane,kazi yako itakuwa kukanyaga viduara hivyo ukifika cha sita unamuaga na kukanyaga cha saba unajikuta mlangoni kwako Yaeda Chini.Hahahahaa..
 
nisindikize basi mpenzi....naogopa mganga asije akaniambia mambo yake ya tabia mbaya
 
Preta nakupa tahadhari mapemaaaaa! hawa waganga wa siku hizi wanaweka dawa kwenye class mamalia yako kwa kutumia baolojia yake.......anaipaka dawa baolojia, then anakwambia leta class mamalia niingize hii dawa.:smile-big:
 
talking out of xperience au?
 
Back
Top Bottom