Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,106
Spin ...,Tunaacha kumjadili muhalifu, tunamtuhumu mhanga. Ni kweli amekuwa blunt kwenye kujieleza hilo ndio kosa lake. It is this kind of attitude from the public inayowafanya watu washindwe kukimbilia kwenye vyombo vya sheria wanapo fanyiwa unyama kama huu.
Naelewa your side of the argument, but i am a woman and a mother can't help it! But you could be totally right, kuna watu wamepinda out there.Spin ...,
Tangazo hili lingetolewa na polisi lingekuwa na mashiko zaidi ..., na ndio utaratibu ulivyo ..
Kwa nini wewe umemwamini huyu mwanamke mpaka ukamwita huyo jamaa mhalifu ...?
Kwanza inawezekana kabisa tangazo hili ni la kuchafuana tuu .., au huyo mwanamke alitaka kum blackmail huyo baba wa watu kwa sababu za kimaslahi ya kifedha au kulazimisha penzi ...
Lakini tangazo hili linaweza kumletea shida aliyelitoa pia .., huyo mwanaume akipeleka malalamiko polisi atasikilizwa vizuri tuu ...
The world has gone far my lovely sister.Naelewa your side of the argument, but i am a woman and a mother can't help it! But you could be totally right, kuna watu wamepinda out there.
Uko sahihi ila kosa lake ni kuwa anatakiwa atoe taarifa polisi ila kwa jinsi alivyoandika inashindwa kueleweka. Je nikimuona nimtafute yeye au nitoe taarifa polisi?Tunaacha kumjadili muhalifu, tunamtuhumu mhanga. Ni kweli amekuwa blunt kwenye kujieleza hilo ndio kosa lake. It is this kind of attitude from the public inayowafanya watu washindwe kukimbilia kwenye vyombo vya sheria wanapo fanyiwa unyama kama huu.
Kwann nae alikubali kutoka na mtu asiyemjua?Tunaacha kumjadili muhalifu, tunamtuhumu mhanga. Ni kweli amekuwa blunt kwenye kujieleza hilo ndio kosa lake. It is this kind of attitude from the public inayowafanya watu washindwe kukimbilia kwenye vyombo vya sheria wanapo fanyiwa unyama kama huu.
Swali zuri ila kumbuka wengi sasa tupo kwenye ndoa au mahusiano na watu ambao wakati fulani tulikuwa hatuwajui but we took the chance! Kuna watu wengine ni wanyama tu na huwezi kuwajua kwa muonekano ni kumuomba mungu atuepushe nao.Kwann nae alikubali kutoka na mtu asiyemjua?
Sista hadi inafikia hatua mnapanga hadi sehemu ya kuonana na kupata kinywaji tena pombe inamaana huyo mtu upo familiar nae kwa kiasi fulani, tatzo la dada zetu siku hizi wanakurupuka mno, mtu unaonana nae asubuhi, jioni umeshamtolea nguo, hujui ye ni nani, anatoka wapi, background yake huijui, humjui rafiki/ndugu yake hata mmoja, matokeo yake ndio hayaSwali zuri ila kumbuka wengi sasa tupo kwenye ndoa au mahusiano na watu ambao wakati fulani tulikuwa hatuwajui but we took the chance! Kuna watu wengine ni wanyama tu na huwezi kuwajua kwa muonekano ni kumuomba mungu atuepushe nao.
Wapenda vya bure bureTunaacha kumjadili muhalifu, tunamtuhumu mhanga. Ni kweli amekuwa blunt kwenye kujieleza hilo ndio kosa lake. It is this kind of attitude from the public inayowafanya watu washindwe kukimbilia kwenye vyombo vya sheria wanapo fanyiwa unyama kama huu.
You have got a slanted mind!Wewe umeona huyo dada kafanyiwa kitendo kizuri? Weka akili yako vizuridu, jamaaa amefaid, sasa unamtfta aendeleze shoo, au wamtaftia nn?
Wewe ni mjinga sana.Mtu atatamanije kufanyiwa uharamia mara mbili?Huyu anataka part 2
Ficha ujinga wako.Ni wapi huyo dada amedokeza anataka kulipwa?Kafanyiwa jinai kubwa.Kwa hiyo anataka kumshtaki au anataka alipwe fedha zake za kutumiwa 0713?
Sijui kwa nini mama yako alikuzaa! Mtu kufanyiwa jinai ni kukosa adabu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake wengine hawana adabu kabisaaaaaa