Kuna hili moja jamaa katengeneza group la MaEx wake whatsapp
Kawaweka wote aliowapitiaga eti wakumbushiane mazuri waliofanyiana.
Sijui ni la tigo lile.
Kuna hili moja jamaa katengeneza group la MaEx wake whatsapp
Kawaweka wote aliowapitiaga eti wakumbushiane mazuri waliofanyiana.
Sijui ni la tigo lile.
Kuna tangazo moja alifanya AY miaka ya nyuma la Voda ile ngoma sijui alipika majani?bit ilikuwa namzuka utafikiri single!mwenye audio yake atusikilishie tafadhali!
Mama mpiji chuzi lote limenimwagikia.
Kwa nini ulipe kingi wakati unatumia kidogo?hilo lilikuwa tangazo la Vodacom wakati tumeanza kulipa kwa sekunde.Ingawa watu wasio wastaarabu kitaa wakabadilisha kuwa kwanini uwe na demu bonge wakati sehemu unayo enda kudili nayo ni ndogo hata robo kilo haifiki.