Tangazo unalolipenda

Kwani

JF-Expert Member
Jan 12, 2016
455
562
Binafsi nalipenda tangazo la voda ongea deilee na ambalo sipendi ni la coca cola.
Upande wako je?
 
"Kabla ya show lazima nifanye salaa
Kisha napigia marafiki kuweka Upendo imaraa
Nampigia mwanangu, Latty lalaaa"
Vodacom Ongea Deilee

Jana kidoooogo nirequest kwenye radio nikakumbuka kumbe ni tangazo sio wimbo...
 
kwa sasa nalikubali tangazo la coca hasa pale mwisho anapompa jamaa soda then anapiga funda moja kisha lile smile dah!

ila tangazo bora la siku zote ni la voda kutoka kwa kijana tony touch, "mbona umetuma elfu mbili tu baby?"
 
Kuna tangazo moja alifanya AY miaka ya nyuma la Voda ile ngoma sijui alipika majani?bit ilikuwa namzuka utafikiri single!mwenye audio yake atusikilishie tafadhali!
 
Mama mpiji chuzi lote limenimwagikia.
Kwa nini ulipe kingi wakati unatumia kidogo?hilo lilikuwa tangazo la Vodacom wakati tumeanza kulipa kwa sekunde.Ingawa watu wasio wastaarabu kitaa wakabadilisha kuwa kwanini uwe na demu bonge wakati sehemu unayo enda kudili nayo ni ndogo hata robo kilo haifiki.
 
Back
Top Bottom