Tangazo tangazo mtu yoyote mwenye watoto 10 wakwake wa kuzaa Aje nao tutampa Tshs 50M awasomeshe.
Jamaa alikuwa na watoto 9 akamfuata mkewe.
JAMAA; wife Nina Mtoto mmoja nje ngoja nikamchukue tukamilishe watoto 10 tupate hiyo hela.
MKE: haya mume wangu.
Jamaa akaenda kumchukua Mtoto kurudi Wale 9 hakuwakuta.
JAMAA: mke wangu Mtoto wa kumi huyu hapa wameenda wapi tena Wale wengine??!
MKE: Baba zao waliposikia tangazo wamekuja kuwachukua watoto wao.