tangazo! tangazo! tangazo!!

tangazo! tangazo! tangazo!!

Hahaha wamekufanya nn mkuu! Ngoja waje labda kna wanao wafahamu
 
mara ya mwisho tulikutana nao sinza kumekucha
 
kadi feki

Duh pole sana aise huo ni sawa na ujambazi
Mm nkimuzia mteja gari kwanza lazima mteja ahakiki kadi tra aridhike ndy Tunafanya biashara.
Nyie hyo biashara mi fanya jioni au
 
Duh pole sana aise huo ni sawa na ujambazi
Mm nkimuzia mteja gari kwanza lazima mteja ahakiki kadi tra aridhike ndy Tunafanya biashara.
Nyie hyo biashara mi fanya jioni au

ndio,tulifanya jion
 
Kama hiyo biashara ilianzia hapa, umeliwa! Jf asilimia 99.9.99999 kuna matapeli! Mimi mfano ukitaka kuniuzia Gari ni lazima kadi iwe na jina lako lasivyo biashara haifanyik! Pili hata kama ina jina lako tunaenda mguu kwa mguu mpaka tra kuthibitisha. Tatu tunaenda wote mpaka nyumbani kwako nikajidhihirishie, nne naenda na wewe mpaka polisi ukathibitishe kuwa Gari n la kwako then biashara inafanyika akiwemo mwanasheria.
 
Dah pole sana mkuu,wala si ya kucheka yaani ukipoteza umakini kidogo tu kwenye ununuzi wa gari za mkononi umeumia,wanachofanya kabla ya kukutapeli wanatafuta your point of weakness wakishaigundua inakua rahisi sana kutekeleza azma yao.
 
ndio,tulifanya jion
Biashara jioni kama humjui mtu kiundani mnge deposit hela kama kishkio alafu kesho baada ya ku confirm kadi tra m namaliza na.
Sasa hapo muwabane waliyowaunganisha Ktk hyo deal
 
Mm biashara nyingi za kuuza gari lazima mteja akague kadi ya gari tra etc, ajiridhishe then Tunafanya biashara...
 
mrangi nimembana lkn c unajua tena mambo ya kesi zetu yalivo!!
 
Last edited by a moderator:
fanya faster ukaripoti police, yani hapo kinachofuata ni kukamatwa kwamba una gari ya wizi, direct utapelekwa lock up, ukitoka huko hao jamaa huwaoni tena. ndio kula yao hiyo, utapeli huo umeshika kasi sana siku hizi.
 
huyu jamaa nnavohisi anaishi kinondoni au sinza madukani
 
Dah pole sana mkuu,wala si ya kucheka yaani ukipoteza umakini kidogo tu kwenye ununuzi wa gari za mkononi umeumia,wanachofanya kabla ya kukutapeli wanatafuta your point of weakness wakishaigundua inakua rahisi sana kutekeleza azma yao.

Kweli kabisa mimi jana usiku kama saa Moja,kuna watu walikuja na raum #d wanataka 5m fasta mm hapo nko na mnunuzi.nilichowambia ni kuwa tunawapa 300,000/ kam deposit kianzio wao watupe kadi ili tu ka confirm tra asubuhi then Tuje tumalize biashara, jamaa waliondoka hawajarudi tena na sjui wamepotelea wapi
 
Gulf Streamer nimeshachukua izo hatua lkn cha kusikitisha ni kwamba hata middle man hajui nyumbani wala kazin kwake
 
Last edited by a moderator:
Mbona matapeli wenyewe wapo kama mashosti??? Nimejawa na tamaa,ukiwakamata nipm
 
Yupi huyo anayeonekana vizuri maana wa mwanzo picha hajageuka

huyo alogeuka ndo alijifanya mwenye gar na huyo wa pili ndiye aliyeleta gari tukaikagua
 
Back
Top Bottom