tangazo! tangazo! tangazo!!

tangazo! tangazo! tangazo!!

Umezunguka vijiwe vya kuuza magari hyo Hugo clemen muulizie

yan we acha tuu! cjui kama kuna kitu cjafanya huu n mwez wa 3 sasa nawasaka! no wamebadili ila mmojawao anapatikana,hapa nlipo cna hata hamu,nimechoka mana kila sehemu unapogusa lazma uache fungu na mafanikio 0,natamani kulitia kiberiti hili gar
 
Nmeku pm! Ni kweli walichofanya syo na next time usifanye biashara jioni au mida ambayo bank hawafanyi kazi
 
nimejifunza sana,ila yote haya yaliletwa na middle man
 
Sasa Tafuta mmiliki halali hata kwenye mtandao wa TRA unaweza kumpata halafu mkubaliane maana mambo mawili mabaya hayatakupa hela yako
 
Back
Top Bottom