Tangazo! Tangazo kwa wanachit chat wote!!

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,185
Reaction score
64,573
Eeehh!!..Kama unawafahamu wale washikaji walio gawana nguo za Yesu, waambie warudishe coz ishakua soo na kitaani kimenuka. Waambie warudishe haraka sababu mwenyewe kafufuka leo.Anaye pata tangazo hili amjulishe na mwenzake. mia
 
Wameshauza zamaani, labda uwatafute walionunua....
 
Eeehh!!..Kama unawafahamu wale washikaji walio gawana nguo za Yesu, waambie warudishe coz ishakua soo na kitaani kimenuka. Waambie warudishe haraka sababu mwenyewe kafufuka leo.Anaye pata tangazo hili amjulishe na mwenzake. mia
Mara ya mwisho walipita wakiwa kwenye toyo wako bati....Niliwasikia wanasema wakutane LEO TUPO HAPA PUB
 
Niliwakuta Dar livee! Wanapongezana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom