platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,366
- 11,154
lakini si ilikuwa................
Baada ya ramadhan ni ndoa sasa hivi mchakato
lakini si ilikuwa................
Kama wadhamini wote Young_Master na platozoom ni vya pombe then unataka ushungi wa nini?
Au hujajua kama Platozoom ni mzee wa Tilalilaaaaaaa?
Hahahaaaaaa dawa ya hiyo dawa ni kuiiba ikiwa jikoni tuNilishakuona tokea mwanzo unataka kuniharibia ....nakucheck tu dawa ipo jikoni
Hahahaaaaaa dawa ya hiyo dawa ni kuiiba ikiwa jikoni tu
Hahahaaaaaaa huu ni mfungo sinakuwa na shabikiUsije kugeuka na kuwa "mdudu" na bahati mbaya unaishi Arusha
Baada ya ramadhan ni ndoa sasa hivi mchakato
lolest! shosti ummu kulthum kweli nakusuport, ni wakati muafaka sasa utoke kwenye neti, lol! mambo mrembo??
mwenzangu ukichagua sana, mwisho utajikuta unapata kama hemedi msangi! beba tu huyohuyo atabadilika taratibu, lol!nipo shosti yangu, eti huyu kijana aliyeingia kwenye 18 anafaa mbona wanamsema ni cha pombe kuliko pombekali?nisaidie wng.nisije nikaaibika
Kama wadhamini wote Young_Master na platozoom ni vya pombe then unataka ushungi wa nini?
Au hujajua kama Platozoom ni mzee wa Tilalilaaaaaaa?
vp Y nimeingia kubaya nini?mbona unaniogopesha
mwenzangu ukichagua sana, mwisho utajikuta unapata kama hemedi msangi! beba tu huyohuyo atabadilika taratibu, lol!
Hebu check hii
View attachment 59983
Hii ni maalumu kwa ajili ya kumkumbuka bibie wangu...pozi lake!
Kama hujaipenda sema nikue nyingine chap
Hapana ummu kulthum. platozoom amenifurahisha na style yake ya kuzungushia uzio.
Kama hujaipenda jaribu hizi
View attachment 59985View attachment 59986View attachment 59987View attachment 59988View attachment 59989View attachment 59990
Au Kama unawapenda watoto check na hawa wawili chap
View attachment 59991 AuView attachment 59992
Kama hata hapo umekosa basi niambie nikupe za mwisho!
Usije kugeuka na kuwa "mdudu" na bahati mbaya unaishi Arusha
mwenzangu ukichagua sana, mwisho utajikuta unapata kama hemedi msangi! beba tu huyohuyo atabadilika taratibu, lol!
Usije kugeuka na kuwa "mdudu" na bahati mbaya unaishi Arusha