Tangazo,tanganzo,tangazoooo!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo,tanganzo,tangazoooo!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ummu kulthum, Jul 26, 2012.

 1. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kwanza kabisa niwashukuru wale wooote waliopendekeza nibadilishe MY AVATAR cacico, charminglady, FirstLady1 na wengineo waliochangia kwa maandishi Bishanga, Judgement, Erickb52, platozoom, Pombekali, Kaizer ummu kulthumu na jopo lake wameamua kutafuta mtu au watu watakaofanikisha kupata Avatar yenye mvuto!

  masharti ya jumla kwa msaka avatar!
  1. iwe na sura ya upole na ukarimu wa kike
  2. macho yenye mvuto wa mahaba
  3. ushungi wa mbali huku ikiacha nywele kuonekana kwa chati
  4. dimpozi sio lazima sana
  5. mdomo wenye mvuto wa kumshawishi rijali kunywa juice mara kwa mara
  6. sura ya oval rangi ya chugwa
  7. iwe na maadili ya kizazi kipya
  imedhamiwa na Young_Master, platozoom, huyu nimemsahau jina.

  vigezo na masharti kuzingatiwa
  zawadi nono itatolewa ikiwemo mbija,makofi,vigelegele,nderemo na vifijo.
  haya sasa wadau kazi mikononi mwenu tiririkeni now!!!
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Sawa ngoja nikuandalie chap na naamini utaipenda sana aisee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  poa ila kumbuka masharti.....utakuwa hupayi zawadi
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama kuna atakayepata zawadi zaidi yangu
  Najiamini kuliko kawaida Ummu
   
 5. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ok poa sasa, ni hatua ya kusubiri vitu vyako bana
   
 6. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Wadau kwa taarifa yenu ummu kulthum ndiye mchumba wangu mtarajiwa na kama alivyosema mwenyewe mimi na mdogo wangu Young_Master ndio wadhamini wa huu mtanange.

  Ni muhimu kukumbuka vionjo alivyovisema bibie kwa umakini mkubwa. Kumbuka pia lazima mzingatie kuwa avatar iwe pia na vionjo vitakavyonifanya nihisi kwamba kweli nimepata mtoto mashalaah.

  Tahadhari: Huu si ukumbi wa kutongozana wala kupeana promise. Lete maoni yako au avatar.

  Here we go!

  Wakatabahu platozoom
  JF FOUNDER
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hebu check hii
  Ummu.jpeg
  Hii ni maalumu kwa ajili ya kumkumbuka bibie wangu...pozi lake!
  Kama hujaipenda sema nikue nyingine chap
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,704
  Likes Received: 12,755
  Trophy Points: 280
  hongera sana platozoom
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  platozoom mama angu weee!!mbona umetiririka sana si ilikuwa bado.............basi bana nakubali yaishe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  erick52 vigezo na masharti kuzingatiwa wadhamini wa shindano hili tayari wapo humu sa mbona hujafata masharti hapo juu wng.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hilo ndilo muhimu. Mambo ya zamani ya nini? itifaki ndeeeeefu
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kama hujaipenda jaribu hizi
  images-24.jpeg images-25.jpeg images-26.jpeg images-27.jpeg images-28.jpeg images-29.jpeg
  Au Kama unawapenda watoto check na hawa wawili chap
  images-30.jpeg Au images-19.jpeg
  Kama hata hapo umekosa basi niambie nikupe za mwisho!
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kama wadhamini wote Young_Master na platozoom ni vya pombe then unataka ushungi wa nini?
  Au hujajua kama Platozoom ni mzee wa Tilalilaaaaaaa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  lakini si ilikuwa................
   
 15. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh!!! platozoom bwana. Ngoja niwahi kwanza sokoni halafu ndio ntakuja kusema yaliyo moyoni na mfukoni mwangu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwani specific accurate zawadi umedeclare ni nini? Ukiacha mbali na hizo mambinja , nderemo na etc
   
 17. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nilikuwa sijui, wote mbona wanavaa kanzu na tasbih juu kumbe....................asante kwa kunijuza ntawashughulikia baada ya hili shindano kupita
   
 18. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  acha haraka J wa mitego! zawadi nono na tamu itatolewa ustie shaka
   
 19. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  vp Y nimeingia kubaya nini?mbona unaniogopesha
   
 20. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
Loading...