TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

asante binamu ila mwenzako nataka niende kwa baba mkubwa watu8 ili nikampumzike maana naona nikirudi home watanifukuza na kusema rudi kwa mumeo nami sitaki nimechoka kuvumilia jamani, kila wakati ni conflicts zisizoisha yani ukiniona my cousin nimekonda nimekuwa kimbaumbau yani mpaka utanikimbia jinsi anavyonitesa

binamu lady furahia
pole kwa yaliyokusibu ila ndoa uvumilivu
mimi Passion Lady nimekuja kidismynder lol!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi my luv kwanini unanifanyia hivyo hivi unataka nijisuicide bure nimwache mwanangu mdogo vile?

cousin huyu mume usimuache tudeal na yule kisebengo mvunja ndoa za watu
lazima tuunde mshikamano ili tumuadabishe Mentor haiwezekani atelekeze familia hivihivi.... Passion Lady ( @dismynder 1) CHAMInglady na measkron njooni tuisaidie hii ndoa isivunjike
 
Mtu mzima hatishiwi nyau - Ngwea
 
jamani pole sana cousin
huyu Mentor atakua na king'amuzi sio bure
nenda kwa dady watu8 kajipumzikie!!
 
Last edited by a moderator:
haivunjiki ng'ooo pacha
watengane kwa siku kadhaa
uone kama huyo shemeji hajamfwata
mke wake tena atakabidhiwa kwa masharti!!
 
haivunjiki ng'ooo pacha
watengane kwa siku kadhaa
uone kama huyo shemeji hajamfwata
mke wake tena atakabidhiwa kwa masharti!!

pacha itabidi tusimame kidete hii ndoa isivunjike na Mentor atatutambua haiwezekani kututesea ndugu yetu bila sababu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…