Hay marafiki
NI MANENO YA HUZUNI KWANGU
View attachment 100649
"ACHENI TU JAMANI YASIWATOKEE NA NYIE
KATIKA NDOA ZENU. MWENZENU NIMESHINDWA SASA"
Nimeona sio vyema kuwahabarisha jambo hili ambalo kwangu linanipa
simanzi, huzuni, na furaha kuondoka kwangu sina jinsi ila ni maamuzi
yangu binafsi, kwani karaha, vituko, vitimbwi, visanga, majanga
yamenitosha sasa mpaka nalala sebuleni jamani kisa NDOA.
Imefikia hatua hata anawaleta home hao wanawake wake kisa kunikoga,
nasema marafiki zangu uvumilivu umenishinda mie, kwani takribani
malongo 4 sasa na tuna mtoto View attachment 100648Huyu ana miaka 3
lakini mwenzangu wala hatulii tumlee mtoto wetu ambaye ni mbichi
na ni kinda letu. Imenibidi niende USTAWI WA JAMII kwa ajili ya madai
ya mtoto wetu huyu na kisha niende Mahakamani kwa ajili ya fomu ya
TALAKA kwani nimeshashindwa na hii NDOA ambayo kwangu ni mateso
na ni unyanyasaji wa kijinsia. Mentor amekuwa haeleweki kabisa sijui nini
kimemfanya awe hivyo, ule upendo wake wa kwanza kwangu umetoweka km
sisimizi, sijui nilichomkosea kwake mpaka afanye hivi. Marafiki zangu mwenzenu
sasa nasema basi, naomba mnishauri nifanye nini ila moyo sasa usharudi nyuma.
NIFANYE NINI?
CC: Mamndenyi, Kipaji Halisi, Bujibuji, watu8, Mtambuzi, Paloma, sosoliso, Nicas Mtei, stevoh, Lady doctor, charminglady, Filipo, Erickb52, Bishanga, The secretary, Jiwe Linaloishi, Smile, kabanga, Heaven on earth, AshaDii, Passion Lady, Ruttashobolwa, amu, KakaKiiza figganigga na marafiki zangu wote
Hizi bahati hizi,Lady furahia naomba unifikirie niwe mfariji wako,nipo tayari kumtunza mtoto na kumpa mapenzi kama mtoto wangu!!pleas nipm!
sasa mbona nyie mmeachana...............na mie naachana banaa kam andio hivyo! kila mtu anaachana tuuuu.........why?
welcome to my kingdom Arabela, wewe ndiye nyota yangu ung'aaye ndani ya mtima wangu
Unaigaiga tu eeh... na ulivyoingia kwenye ndoa uliiga.. angalia usijeiga ku pooh kwa ndovu..!
Si uzae mwanao kha... au nyie ndo mnasubiri mke mwema toka "KWA BWANA"
Arabela unataka kuniambia bado nitonye hajatia timu kwako..?Pole sana my dia hata me nipo kwenye wakati mgumu kama huo ni juzi tu tangu niachane na zubedayo_mchuzi. I do understand your pain
heee babe sosoliso yani hata mie nimeweweseka hapa............sina uhakika na ninayoyasikia! nikisema sana ntaambiwa mmbeya! ngoja nitaongea napande sote ili kunga'mua ukweli u wapi!!!
babe sosoliso nimekumiss mpaka nimepata taji la kukumiss! naona kama muda wa home unachelewa.......sijui nimtorokeje mkoloni leo!! na obama keshachapa lapa hamna visingizio!