TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

Sema tu aSio vzuri kutoa siri za ndani ila huyu wifiyo Evelyn Salt ataniua.

Uje nikufundishe mbinu za kujihami na mashambulizi, atakuvunja ugoko usipokuwa makini ohoo...
 
Last edited by a moderator:
Uje nikufundishe mbinu za kujihami na mashambulizi, atakuvunja ugoko usipokuwa makini ohoo...
Daah kweli mzee gia box inaeza kunoki ki mzaha mzaha kama nisipo komaa
 
nakuja kuwakamata mm sina aleji nao kwani nakumbuka nilivyokuwa mdogo nilikuwa nakula sana hao mpaka mama akawa ananichapa lakini sitaki si unajua utoto cousin
pacha hao wadudu wananukaga hao, mie hata siwezi kuwashika labda ladyfurahia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…