TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

Huyo pachayo alinilingia zamani mpaka nimelishwa gendaugaluke ndo ananifukuzia mwambie amechelewa meen..

yaani mi nakupa taarifa za mkeo unaniona mi 'lafa' amakweli we ni slave!!
 
hahahaaa sasa asipokupenda wewe ataishije mujini wakati we ndiyo sugar mami wake!

Nnachompendea baby wangu hasikilizagi maneno ya watu...
kweli alisikiliza vema ushauri mzuri wa kuishi kwenye ndoa yake
nakupenda Slave
 
Last edited by a moderator:
Nnachompendea baby wangu hasikilizagi maneno ya watu...
kweli alisikiliza vema ushauri mzuri wa kuishi kwenye ndoa yake
nakupenda Slave

kah, mmeo naye mgumu, sijui umemlisha gundi...!!!!! Kakuganda ka'nini hata umwambieje wala hafurukuti
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…