TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Hay marafiki

NI MANENO YA HUZUNI KWANGU
SAD WOMAN.jpg
"ACHENI TU JAMANI YASIWATOKEE NA NYIE
KATIKA NDOA ZENU. MWENZENU NIMESHINDWA SASA"




Nimeona sio vyema kuwahabarisha jambo hili ambalo kwangu linanipa
simanzi, huzuni, na furaha kuondoka kwangu sina jinsi ila ni maamuzi
yangu binafsi, kwani karaha, vituko, vitimbwi, visanga, majanga
yamenitosha sasa mpaka nalala sebuleni jamani kisa NDOA.

Imefikia hatua hata anawaleta home hao wanawake wake kisa kunikoga,
nasema marafiki zangu uvumilivu umenishinda mie, kwani takribani

malongo 4 sasa na tuna mtoto BABYBOY.jpg Huyu ana miaka 3
lakini mwenzangu wala hatulii tumlee mtoto wetu ambaye ni mbichi
na ni kinda letu. Imenibidi niende
USTAWI WA JAMII kwa ajili ya madai
ya mtoto wetu huyu na kisha niende Mahakamani kwa ajili ya fomu ya
TALAKA kwani nimeshashindwa na hii NDOA ambayo kwangu ni mateso
na ni unyanyasaji wa kijinsia.
Mentor amekuwa haeleweki kabisa sijui nini
kimemfanya awe hivyo, ule upendo wake wa kwanza kwangu umetoweka km
sisimizi, sijui nilichomkosea kwake mpaka afanye hivi. Marafiki zangu mwenzenu
sasa nasema basi, naomba mnishauri nifanye nini ila moyo sasa usharudi nyuma.
NIFANYE NINI?

CC: Mamndenyi, Kipaji Halisi, Bujibuji, watu8, Mtambuzi, Paloma, sosoliso, Nicas Mtei, stevoh, Lady doctor, charminglady, Filipo, Erickb52, Bishanga, The secretary, Jiwe Linaloishi, Smile, kabanga, Heaven on earth, AshaDii, Passion Lady, Ruttashobolwa, amu, KakaKiiza figganigga na marafiki zangu wote
 
Last edited by a moderator:
1. What first attracted you to Mentor?
If these things still exist,you guys are still compatible.

2.Has Mentor done something unforgivable?

3.Do you like what you see in the mirro
 
Last edited by a moderator:
Mh.... mama yeleleleleeeweeeee mateso yamezidi iiiiiii.... ndoa sasa imekuwa ndoano... Pole cousin... Chapa lapa kama haelewezi lol!!!
 
Oh! nachukua nafasi hii Mimi na mwenzangu smile tunasikitikika kwa tangazo lako hili.
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani shemeji yangu Mentor abadilike hivi.. Babe Paloma hebu njoo hapa na uniambie mbona shemeji yangu anataka kuniulia mtu hapa.. Hizi tabia za Bishanga katoa wapi..?

heee babe sosoliso yani hata mie nimeweweseka hapa............sina uhakika na ninayoyasikia! nikisema sana ntaambiwa mmbeya! ngoja nitaongea napande sote ili kunga'mua ukweli u wapi!!!

babe sosoliso nimekumiss mpaka nimepata taji la kukumiss! naona kama muda wa home unachelewa.......sijui nimtorokeje mkoloni leo!! na obama keshachapa lapa hamna visingizio!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom