unaonekana umekula chumvi nyingi sana weweneno samaki hapo ni samaki wa kawaida sio tafsida. Kanda ya ziwa samaki ni wengi watu wanatafuna samaki muda wowote, ni kama watu wa dar wanavyotafuna karanga au chewing gums mitaani. Na samaki ukiingia nae sehemu shombo inachukua muda mrefu kuisha unless watumie air freshener.