Tangazo Muhimu............

Tangazo Muhimu............

Mmmh, ina maana katika hii hoteli hakuna kula samaki?
Halafu foronya inaharibiwaje na samaki...
Hii ndo shida ya umiliki mali bila shule!
Mengine, 2 na 3 na wengine karibu mchangie hoja!
Tulia wewe! Sio samaki huyo unayemjua wewe! Fikiri vizuri!
 
Hiyo Geust Hotel ni nzuri sana.
1.Mtu unamanyele uliyoyaweka dawa mpaka yamependeza halafu unaenda kuyagaragaza kwenye shuka la watu,yaniniiii.
2.Mtu uko kwenye hedhi halafu unataka ukabebee mimba Geust Hotel unazani mtoto atakayezaliwa atakuwa na tabia gani??????
Mkuu Amavubi hiyo Guest Hotel ipo mkoa gani na mimi nijitupie huko????
saudari una umri gani?? samahan lkn
swali 1 jibu-------------hivi kama ni msafiri na nimetengeneza nywele nisilale gesti??
swali 2jibu-------------ukiwa kwenye hedhi unaweza kupata mimba?? haya je kama mm ni msafiri niko kwenye hedhi nisilale gest??
 
Last edited by a moderator:
Amavubi!!!!!!!!!!!!!!!! ulienda kufanyeje humu ndani? wewe ulibeba "samaki"?? Heri ya mwaka mpya, naelekea Lushoto kuweka mambo sawa
ukweli kabisa nilibeba samaki nikawaacha kwa jikoni.............:confused2::nimekataa:target::A S angry:
 
Waoh, huwezi amini niliona hii nikakukumbuka kumbe Una mpya kabisa. Nimeamini this is new year.
what a friend in need. hii naichukua kama zawadi yangu ya mwaka mpya na kuahidi kuitumia kama ukumbusho wangu kwenye AVATAR YANGU alimradi haiko mbali na falsafa yangu ya kandambili
 
Wakulu, hivi hapo hilo neno "Samaki" ni tafsida au samaki kama samaki? nijuzeni tafadhali wana kanda ya ziwa.
 
what a friend in need. hii naichukua kama zawadi yangu ya mwaka mpya na kuahidi kuitumia kama ukumbusho wangu kwenye AVATAR YANGU alimradi haiko mbali na falsafa yangu ya kandambili



Dear Amavubi,

image.jpg
 
You must be a Philosopher, naona na wewe umebadili jinsi na jinsia:target::A S soccer::nimekataa
 
Wakulu, hivi hapo hilo neno "Samaki" ni tafsida au samaki kama samaki? nijuzeni tafadhali wana kanda ya ziwa.

Neno samaki hapo ni samaki wa kawaida sio tafsida. Kanda ya ziwa samaki ni wengi watu wanatafuna samaki muda wowote, ni kama watu wa dar wanavyotafuna karanga au chewing gums mitaani. Na samaki ukiingia nae sehemu shombo inachukua muda mrefu kuisha unless watumie air freshener.
 
Back
Top Bottom