Tangazo Muhimu............

Tangazo Muhimu............

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
531059_4310444969757_518402488_n.jpg
Hii nimeikuta mitaa fulani ya kanda ya Ziwa
 
Mmmh, ina maana katika hii hoteli hakuna kula samaki?
Halafu foronya inaharibiwaje na samaki...
Hii ndo shida ya umiliki mali bila shule!
Mengine, 2 na 3 na wengine karibu mchangie hoja!
 
Mmmh, ina maana katika hii hoteli hakuna kula samaki?
Halafu foronya inaharibiwaje na samaki...
Hii ndo shida ya umiliki mali bila shule!
Mengine, 2 na 3 na wengine karibu mchangie hoja!
suala zima la shombo mkuu
 
View attachment 77794
Hii nimeikuta mitaa fulani ya kanda ya Ziwa

Hiyo Geust Hotel ni nzuri sana.
1.Mtu unamanyele uliyoyaweka dawa mpaka yamependeza halafu unaenda kuyagaragaza kwenye shuka la watu,yaniniiii.
2.Mtu uko kwenye hedhi halafu unataka ukabebee mimba Geust Hotel unazani mtoto atakayezaliwa atakuwa na tabia gani??????
Mkuu Amavubi hiyo Guest Hotel ipo mkoa gani na mimi nijitupie huko????
 
Back
Top Bottom