haya lingine hiloView attachment 77799
View attachment 77794
Hii nimeikuta mitaa fulani ya kanda ya Ziwa
Tulia wewe! Sio samaki huyo unayemjua wewe! Fikiri vizuri!Mmmh, ina maana katika hii hoteli hakuna kula samaki?
Halafu foronya inaharibiwaje na samaki...
Hii ndo shida ya umiliki mali bila shule!
Mengine, 2 na 3 na wengine karibu mchangie hoja!
saudari una umri gani?? samahan lknHiyo Geust Hotel ni nzuri sana.
1.Mtu unamanyele uliyoyaweka dawa mpaka yamependeza halafu unaenda kuyagaragaza kwenye shuka la watu,yaniniiii.
2.Mtu uko kwenye hedhi halafu unataka ukabebee mimba Geust Hotel unazani mtoto atakayezaliwa atakuwa na tabia gani??????
Mkuu Amavubi hiyo Guest Hotel ipo mkoa gani na mimi nijitupie huko????
ukweli kabisa nilibeba samaki nikawaacha kwa jikoni.............:confused2::nimekataa:target::A S angry:Amavubi!!!!!!!!!!!!!!!! ulienda kufanyeje humu ndani? wewe ulibeba "samaki"?? Heri ya mwaka mpya, naelekea Lushoto kuweka mambo sawa
what a friend in need. hii naichukua kama zawadi yangu ya mwaka mpya na kuahidi kuitumia kama ukumbusho wangu kwenye AVATAR YANGU alimradi haiko mbali na falsafa yangu ya kandambiliWaoh, huwezi amini niliona hii nikakukumbuka kumbe Una mpya kabisa. Nimeamini this is new year.
uchafu mkubwa ndio upi tena, wengine wadogo jamanina wale wanaochafua na uchafu mkubwa inakuje mkuu amavubi.
Tulia wewe! Sio samaki huyo unayemjua wewe! Fikiri vizuri!
Wakulu, hivi hapo hilo neno "Samaki" ni tafsida au samaki kama samaki? nijuzeni tafadhali wana kanda ya ziwa.
Samaki is equivalent to tigo, I am just saying.........kama ni tafsida huenda wamemaanisha samaki wa Mombasa
ule unaopatikana baada ya kula chakula mara nyingi huifadhiwa chooni.yaani badiliko la ugali kuelekea kuwa mbolea.uchafu mkubwa ndio upi tena, wengine wadogo jamani
Wakulu, hivi hapo hilo neno "Samaki" ni tafsida au samaki kama samaki? nijuzeni tafadhali wana kanda ya ziwa.