Tangazo muhimu..

sergio 5

JF-Expert Member
May 22, 2017
8,677
9,375
Habar za jumapili wapendwa lengo la andiko hili ni kuwafahamisha ujumbe nilioupata toka kwa mh. mwakyembe waziri wa michezo kuwa anahitaji meche ya kirafiki kati ya timu ya bunge na wana jamiiforum.
Naomba kuwasirisha hoja wakuu
 
Wabunge wenyewe ni hawa waliopitisha Hizi sheria za kimakinikia? Endapo Tulia atacheza utanishtua nirudi hapa@
 
Back
Top Bottom