tangazo la zantel linakashifu dini

Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,891
1,225
Ndoa Ni sakramenti takatifu kwa wakristo,nachukizwa na matumizi ya maneno toka sakramenti hiyo katika tangazo la zantel, Kuna maneno mengi Tu kuliko kutumia sakramenti takatifu, acheni mnatuboa wengi
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,943
2,000
Ha ha haa lile la kufunga ndoa na zantel na kuachana na michepuko (tigo n voda)?
 
toccara

JF-Expert Member
Apr 17, 2014
543
225
yaani anachojaribu kueleza ni kuwa wametumia maneno ambayo yanatumika kanisani wakatiwa kufunga ndoa za kikristu, ni kitu ambacho kimemchukiza
 
Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,891
1,225
yaani anachojaribu kueleza ni kuwa wametumia maneno ambayo yanatumika kanisani wakatiwa kufunga ndoa za kikristu, ni kitu ambacho kimemchukiza

you can imagine kwanini hawakutumia maneno ya hazana maana they are affiliated. Washafanya ibada zetu sehemu ya michezo Yao? Wanasikitisha. Mimi nitafurahi tangazo litakalofuata kuwala hazana
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,698
2,000
Ndoa Ni sakramenti takatifu kwa wakristo,nachukizwa na matumizi ya maneno toka sakramenti hiyo katika tangazo la zantel, Kuna maneno mengi Tu kuliko kutumia sakramenti takatifu, acheni mnatuboa wengi
hebu tuondolee upumbavvu wako hapa, kwenye ukristo hakuna akili mgando kama za al shabaab, inaonekana wewe jinga hata movie za Hollywood uangalii.
 
Mipangomingi

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,712
2,000
hebu tuondolee upumbavvu wako hapa, kwenye ukristo hakuna akili mgando kama za al shabaab, inaonekana wewe jinga hata movie za Hollywood uangalii.
Naona minyoo yako inaanza kupona nowdays, na huyu mtoa mada yaonyesha ana minyoo sugu. Hebu muelekeze wapi ulikopata dawa za minyoo sugu naye akanunue
 
Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
4,496
2,000
you can imagine kwanini hawakutumia maneno ya hazana maana they are affiliated. Washafanya ibada zetu sehemu ya michezo Yao? Wanasikitisha. Mimi nitafurahi tangazo litakalofuata kuwala hazana

Mkuu hueleweki, hazana ndo nini?
 
Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,891
1,225
hebu tuondolee upumbavvu wako hapa, kwenye ukristo hakuna akili mgando kama za al shabaab, inaonekana wewe jinga hata movie za Hollywood uangalii.

it is very simple and clear waondoe tangazo huelewi nini hapo
 
Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,891
1,225
Naona minyoo yako inaanza kupona nowdays, na huyu mtoa mada yaonyesha ana minyoo sugu. Hebu muelekeze wapi ulikopata dawa za minyoo sugu naye akanunue
mkuujitambue, tangazo linagusia sakramenti takatifu ya ndoa, hatuhitaji michezo yanapokuja maswala muhimu ya imani, simply waliondoe
 
Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,891
1,225
Kila jambo tutalihusisha na dini tuu. Sijui tumekuwaje?

mkuu limegusia dini ndio maana nalizungumzia, there are a million ways to make creative adverts without raising viewers outcries wangekuwa professionals wasingetengeneza matangazo ya kijinga kutania dini za watu, legally its an offence which needs to be corrected
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom