tangazo la zantel linakashifu dini

wallaaaau wakibaru wallaaaaaaaaau wakibaru....Tena saa zingine ni alfajiri watu tumelala na wake zetu tunapigiwa makelele yasiyo na msingi.

mkuu huwa mood inapotea kabisa huwa najiuliza kwanini wasingekua wanapigiana simu Tu kuamshana na hivi sass Kuna vifurushi kibao
 
Acha bwana wenzenu wanamlilia Mungu wao aliyeliwa na kitimoto. Ndio maana hawamli maana alimla Mungu wao
 
you can imagine kwanini hawakutumia maneno ya hazana maana they are affiliated. Washafanya ibada zetu sehemu ya michezo Yao? Wanasikitisha. Mimi nitafurahi tangazo litakalofuata kuwala hazana

Tunajua kampuni ilikoanzia............... hapo hawagusi!

Haya ni baadhi ya madhara ambayo Tanganyika inapata kutokana na muungano. Come back Tanganyika!
 
Ndoa Ni sakramenti takatifu kwa wakristo,nachukizwa na matumizi ya maneno toka sakramenti hiyo katika tangazo la zantel, Kuna maneno mengi Tu kuliko kutumia sakramenti takatifu, acheni mnatuboa wengi

Hilo tangazo hilo sijaliona, liko kwenye bango, tv au redio? Kama lina vimelea vya kukashifu dini za watu waondoe haraka.
 
Back
Top Bottom