tangazo la zantel linakashifu dini

tangazo la zantel linakashifu dini

Ndoa Ni sakramenti takatifu kwa wakristo,nachukizwa na matumizi ya maneno toka sakramenti hiyo katika tangazo la zantel, Kuna maneno mengi Tu kuliko kutumia sakramenti takatifu, acheni mnatuboa wengi

Sakramenti ni nini, na imeandikwa wapi ktk mwongozo wa wakiristo (Bibria)
 
mkuujitambue, tangazo linagusia sakramenti takatifu ya ndoa, hatuhitaji michezo yanapokuja maswala muhimu ya imani, simply waliondoe

sakaramenti ndio nini !???............ni tendo la ndoa au !?
 
kama hiyo ndoa ya kanisani ww ulitaka watumie maneno gani?
 
dini yenu ndio ilivyo wangetumia ile ya dinj nyingine ungeona balaa lake
 
Naunga mkono hoja nafikiria kutengeneza tangazo wanamkimbiza kiti moto halafu simu inaita anapokea ! kitimoto anapita x 2 anatupia kisu anasema 'kajifie' kwa lafudhi ya kiunguja naingia studio
 
kwa mfano makelele yapi hasa, toa mfano..

wallaaaau wakibaru wallaaaaaaaaau wakibaru....Tena saa zingine ni alfajiri watu tumelala na wake zetu tunapigiwa makelele yasiyo na msingi.
 
wallaaaau wakibaru wallaaaaaaaaau wakibaru....Tena saa zingine ni alfajiri watu tumelala na wake zetu tunapigiwa makelele yasiyo na msingi.
Allahu akbaaaaaru allaaaaaaaaahu akbaaar! Ashahadu ailaha ailalaaaaaaa...Aiallahswalaaaaah
 
Naunga mkono hoja nafikiria kutengeneza tangazo wanamkimbiza kiti moto halafu simu inaita anapokea ! kitimoto anapita x 2 anatupia kisu anasema 'kajifie' kwa lafudhi ya kiunguja naingia studio

mkuu wewe Ni mbunifu Sana, Hilo litafaa sana
 
Back
Top Bottom